Watanzania mlitusema wakati tulikawia kutoa gari kutoka baharini, nyie mumeshindwa kwenye mto, siku kumi sasa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,743
48,326
Kuna kipindi gari lilizama baharini na kutoweka, ikabidi wataalam Wakenya watumie mbinu za hali ya juu kulisaka mpaka wakalipata na kulitoa na kuopoa miili ya mama na mwanaye, kwa siku hizo wakati juhudi zinaendelea, JF ilikua inawaka moto, Watz walikua wanafungua nyuzi kila siku za kuchekelea.

Wakajisahau kwao walivyo nyuma sana kwenye haya mambo, meli yao ilipozama ziwa Victoria, ilibidi juhudi za uokoaji kusitishwa kisa hawakua na mwangaza wa kutosha usiku hivyo ikabidi abiria wajifie mbali na baadhi ya miili yao kuopolewa ila mingine ikaachwa iliwe na viumbe vya humo ziwani, juzi hapa siku kumi zimepita tangu lori kutumbukia kwenye mtoni, wamehangaika na kushindwa kulitoa.

Mmiliki wa lori amekata tamaa na kulisahau.

Unafananisha Noah na Semitrailer? Halafu TZ ilitoa mwili wa dereva mapema sana, kisha ikafuata kutoa gari amabyo ndiyo shughuli imechukua siku 10.

Nionavyo mimi, kwa jinsi pale Wami palivyo, ingekuwa ni Kenya basi maiti ingetolewa baada ya siku 20, na ingekutwa imeliwa na mamba kabisa.
  • wami-660x400.jpg
 
Nilikuwa naangalia ulipokwama nikagundua kuwa umeshindwa kumuelewa huyo mama hata anachokisema maana kwa Kiswahili ulichoandika ni ishara kuwa lugha imekupiga chenga hadi mwisho ukatoka kapa bila ya kuelewa chochote kinachoendelea. Tatizo lako kubwa unataka kulinganisha maziwa na tui la nazi,mbona ni vitu viwili havifanani.
 
Unafananisha Noah na Semitrailer? Halafu TZ ilitoa mwili wa dereva mapema sana, kisha ikafuata kutoa gari amabyo ndiyo shughuli imechukua siku 10.

Nionavyo mimi, kwa jinsi pale Wami palivyo, ingekuwa ni Kenya basi maiti ingetolewa baada ya siku 20, na ingekutwa imeliwa na mamba kabisa.
Ushakurupukia kitu hujakielewa, huyo mama hakuwa na hela yakutosha kulipia hiyo huduma. Huduma ya kutolewa gari ipo, Ila sharti lazima ulipie kwanza ndio kazi ianze.
Hapo ndo unaonesha upeo wako mdogo sana
Yani unafananisha kutoa gari ya Tani moja na gari ambayo yenyewe ni Tani 13 plus mzigo wa Tani 30 katika maji machafu yanayotembea kwa kasi.
Nilikuwa naangalia ulipokwama nikagundua kuwa umeshindwa kumuelewa huyo mama hata anachokisema maana kwa Kiswahili ulichoandika ni ishara kuwa lugha imekupiga chenga hadi mwisho ukatoka kapa bila ya kuelewa chochote kinachoendelea.
Tatizo lako kubwa unataka kulinganisha maziwa na tui la nazi,mbona ni vitu viwili havifanani.
Kwa hivi vitasa nadhani huyu moskuito tasaa! alipo anajuta kufungua hii thread
 
Hapo ndo unaonesha upeo wako mdogo sana
Yani unafananisha kutoa gari ya Tani moja na gari ambayo yenyewe ni Tani 13 plus mzigo wa Tani 30 katika maji machafu yanayotembea kwa kasi.

Kwetu gari lilitumbukia kwenye bahari na kusogeshwa kabisa kiasi cha kutoweka, utaalam ukatumika wa hali ya juu na wa kisasa, nyie mtoni tu mumeshindwa siku kumi mnatokwa udenda. Ombeni msaada waje wataalamu na madubwasha yao muachwe vinywaa wazi.
 
Ya bahari huwa yamesimama? Ushawahi sikia Sea Currents? Sea Depth? 10 days Serikali imeshindwa kuiokoa lori ni ishara kuwa hamna equipments na ujuzi wa kazi ya aina hiyo. Ombeni msaada Kenya mwenye gari atafute posho.
 
Kwetu gari lilitumbukia kwenye bahari na kusogeshwa kabisa kiasi cha kutoweka, utaalam ukatumika wa hali ya juu na wa kisasa, nyie mtoni tu mumeshindwa siku kumi mnatokwa udenda. Ombeni msaada waje wataalamu na madubwasha yao muachwe vinywaa wazi.
Hivi unajua tofauti ya bahari na mto ?
Tuanzie kwanza hapa kidooogo kabisa.
 
Nilikuwa naangalia ulipokwama nikagundua kuwa umeshindwa kumuelewa huyo mama hata anachokisema maana kwa Kiswahili ulichoandika ni ishara kuwa lugha imekupiga chenga hadi mwisho ukatoka kapa bila ya kuelewa chochote kinachoendelea.
Tatizo lako kubwa unataka kulinganisha maziwa na tui la nazi,mbona ni vitu viwili havifanani.
Jeshi la Kubangua Koroshow liko wapi na si eti wako kazi kwingine Ila wako kwenye kambi zao wakitegea Koroshow zikomae wabangua Tena. JWTZ iko wapi? Vikosi vya kukabiliana na Mambo Kama haya viko wapi? Ni vifaa na ujuzi hamna ama ni Nini? 10 days? You guys are not serious at all.
 
Yaani hili tukio linazidi kuonyesha jinsi hawa majirani huwa wamechelewa, unakumbuka juzi waliponunua radar na kushangilia nchi yote, yaani sikuamini miaka yote hiyo walikua wanatumia radar zetu.
Jamaa hupenda kuongea sana lakini matendo zero kabisa, kuvuta lori kutoka kwenye mtoni wameshindwa siku kumi sasa, mpaka wanaelekea kukata tamaa.
 
Jeshi la Kubangua Koroshow liko wapi na si eti wako kazi kwingine Ila wako kwenye kambi zao wakitegea Koroshow zikomae wabangua Tena. JWTZ iko wapi? Vikosi vya kukabiliana na Mambo Kama haya viko wapi? Ni vifaa na ujuzi hamna ama ni Nini? 10 days? You guys are not serious at all.
😂😂 labda kdf wataweza mahana nakumbuka walishakutana na mziki wa al shababu watatu pale westget wao wakaja kama 1000 walichoambulia ni kuiba mazaga tu ya watu, lakini bado utaona kuna watu wanajiita eti wana strong army, yahani three ali shababu against 1000 kidf and u still tell us your nonsense
 
Kwahiyo umepata furaha kwa Tanzania kuenda level za chini sawa na Kenya sio??
 
Mnatia huruma kwa kuendelea kubaki maskini huko chini, mnashindwa kuvuta lori kwenye mto....
 
Back
Top Bottom