gari

  1. GE2020 Hivi NEC walimuita Magufuli na Kumhoji juu ya kauli ya "Mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari halafu umtangaze mpinzani!!"

    NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
  2. Wakuu Nimeipenda hii gari Toyota Collora Fielder

    Wakuu Heshima Kwenu, Naomba kufahamishwa kidogo kuhusu hii gari,kwa upande wangu naona ni gari nzuri kwa muonekano ni ndoto zangu kuja kumiliki hii gari, maana naona haizungumzwi sana katika hili jukwaa. Naomba kufahamishwa machache kuhusu hii gari: - Changamoto zake - Ulaji wake mafuta -...
  3. Oil pressure light kwenye dashboard ya gari

    Wadau amani iwe kwenu. Nina swali dogo tu ningependa kupata ufafanuzi ili kuongeza uelewa. Ni kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea? Vile vile napenda kufahamu athari zinazoweza...
  4. Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

    Juzi fundi aliniuliza mara ya mwisho kufanya service gari langu. Nikamwambia mie tangu niagize nikaanza kutembea nayo sijawahi kufanya intensive service mpaka ipate tatizo ndio naileta kwako. Akashangaa sana. Akasema kawaida unaponunua gari either kwa mtu au kutoka nje, kabla hujaanza kuzurura...
  5. D

    VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  6. Bodaboda kapita na Side Mirror ya gari yangu. Nipo kwa fundi hapa narekebisha!

    Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri! Juzi Jumatano nilikua natoka kwa Aziz Ally kumpeleka 'rafiki yangu wa kike'. Wakati narudi ishakua usiku mishale ya...
  7. Kwanini ni muhimu kwenda na fundi akague unaponunua gari? (mambo ya muhimu ambayo watu hawayafanyi wanaponunua magari yao)

    Ukiachana na mambo ambayo watu wengi wanaangalia wanaponunua magari used ambapo mengine ni madogo. Kuna mambo ambayo huwa ni ya kiufundi zaidi ambayo huwa ni vizuri pia yakaangaliwa. Kwa watu ambao wameshawahi kununua magari na yakawasumbua sana wanaweza kuelewa vizuri zaidi ni kitu gani ambacho...
  8. D

    Msaada: Naomba ushauri wa gari Suzuki Jimny

    Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake. Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
  9. T

    Hivi kuna jinsi ya kuzuia ufa wa kioo cha gari au kuziba?

    Kuna kioo cha gari cha mbele.. kilianza kuwa na ufa mdogo.. siku zinavyokwenda ndio ule ufa unazidi kuongezeka. Je, kuna jinsi ya kuzuia Huu UFA usiendeleee.. au kuna jinsi ya kuziba huu UFA?
  10. Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

    Recently nimenunua gari ndogo (babywoka). Sisemi gari gani lakin ni mojawapo kati ya haya matano (IST, VITZ, Passo, Honda Fit, Suzuki Swift) Leo asubuhi sana kuna issue nilikua nawahi pale UDSM. Nilikua natokea Ubungo mataa, wakati nakunja pale kona ya njia panda ya Chuo (kuna kituo cha...
  11. D

    Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  12. L

    Matumizi mabaya ya akili kuwaacha wananchi wafe/wakinamama wajifungue njiani wakienda kwa miguu hospitali then uwasombe kwa gari wakati wa kampeni

    Siwezi sahau siku niliposimamishwa njiani na mama aliyevaa flana ya kijani akiwa na mwanae wakike aliyekaribia kujifungua. Kwanza nilimpita, lakini nilipofika mbele kidogo huruma ilinijia nikaamua kurudi kuwachukua na kawapeleka mpaka hospitalini. Baada ya kuwashusha yule mama alisema asante...
  13. Achoma gari makusudi baada ya kushindwa kulipa deni la gari hilo

    POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad...
  14. Zingatia sana kama taa za Dashboard zinawaka kabla ya kuwasha gari lako

    Unapoweka switch on kwenye gari lako ni vizuri ukahakikisha angalau taa hizi zifuatazo zinawaka kwenye dashboard ya gari lako. Taa hizo ni 1. Check engine 2. Oil pressure 3. Airbag 4. Coolant temperature 5. Battery 6. Automatic Transmission Temperature (Kama ipo) 7. ABS In fact, Ni...
  15. H

    Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

    Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na...
  16. Gari aina ya Eicher truck inauzwa

    Make: Eicher Mode: truck Model number: MC2B6 Year of manufacture: 2017 Engine Capacity: 3298 Fuel used: Diesel Seating capacity: 3 Mileage: 15868 Price 32 Millions Gari ipo kwenye hali nzuri kabisa, unaweza kuja kuiona, inapatikana Tabata Kinyerezi, Dar es Salaam. kwa mawasiliano zaidi 0713626992
  17. M

    Gari inahitajika haraka

    Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Toyota Wish au Toyota Volt basi mteja ushampata. No C/D Wasiliana na mimi kwa sms/whatsapp/ call 0699494650 DSM Update1 *Nahitajii raum au ist namba d offer ya mteja million 6, Whatsap picha 0699494650
  18. Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

    A Japanese company has announced the successful test drive of a flying car. Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test Field, one of the largest in Japan and home to the car company’s development base. It was the first...
  19. Japan wafanya onyesha la gari linalopaa angani - vipi Afrika tunajifunza nini kwa wenzetu

    @mod nilikusudia kutumia neno "onyesho" Licha ya Japan kukumbuwa na majanga ya kila aina, ila wao huko kwao hufanya mambo ya kiajabu sana yanayohitaji ubongo, Waafrika huku tuna kila kitu ila bado huwa tumechelewa balaa... The SD-03 flying car A Japanese company has announced the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…