gari

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kampuni gani nzuri ya tracking system kwenye magari kati ya hizi?

    Habari wakuu; ninataka kufunga tracking system kwenye gari yangu ndogo ambayo naikodisha. Nimegoogle nikapata kampuni kadhaa hapa (Cartrack, U-track, Afritrack, Wetrack). Ninaomba wenye uzoefu na hizi kampuni wanisaidie ipi hapa iko poa zaidi. Na kama kuna kampuni zingine pia naomba mapendekezo...
  2. Somoche

    JamiiForums Tanzania Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane. Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua. Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota Cami wadau gari iko vizuri changamoto gia Box na inapaki muda mwingi kwakuwa Nipo nje ya mkoa njoo na offer yako au nicheki pm

    nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested nicheki pm nipe offer yako ukamiliki gari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kubadilisha engine ya gari

    Wadau kuna mtu aliniambia unaweza kununua engine ya 4cylinders na gear box yake ukaweka kwenye gari ya 6cylinders mfano mark ivi gx 110, je inawezekana? Msaada tutani
  5. May Day

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kisheria zikoje kubadili gari langu kuwa na picha za Wagombea kama bango la kampeni?

    Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kununua gari

    Wakuu katika miangaiko yangu nimejichangachanga hapa nimepata Mil 8 nahitaji kununua ndinga kwa mtu anayeuza tuwasiliane. Vigezo gari iwe katika hali nzuri, ambayo iko chini ya km 100,000 na ambayo haijawahi kupata ajari. Napendelea toyota allion, Allex au Runx
  7. illegal migrant

    JamiiForums Tanzania Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali inayokuridhisha, ni. Ni muhimu kujua gari hilo liliingiaje nchini, hapa nazungumzia documents. Watumishi huwa ni...
  8. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Gari gani ambayo hata ukipewa bure, utaipokea ili mradi tu?

    Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje. Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye VX, Noah na vigari flani vipo hasa hasa vipo Njombe wanavifanyia biashara ya tax sijui vinaitwaje...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Chang’ombe flyover ni moto wa kuotea mbali, foleni ya gari zinazotoka Kamata na Karume kuwa historia jijini Dar es Salaam

    Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari. Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Gari yangu Nissani teana 230 JM

    Wakuu Habari za weekend Gari yangu Aina ya Nissani teana 230jm inashida zifuatazo ambazo naomba ni share na wadau hapa mnipe mawazo 1. Check engine light iko on 2. Ukitembea umbali flan Gari inazima na kuwaka hapo ni ishu kweli kweli 3. Ikiwa Inatembea inakuwa kama inatetemeka 4. Kwenye...
  11. Ubumuntu

    JamiiForums Tanzania “Oil catch can” kwa gari za diesel zenye turbocharger

    Salaam, Napenda kujulishwa kama kuna garage ambayo ina fundi mwenye kujua namna ya kuweka “oil catch can” kwenye gari za diesel zenye turbocharger. Oil catch can inasaidia kupunguza zile sludges kwenye pipes, hoses na intake manifold. Naulizia garage na fundi kwenye mikoa ya Dar, Arusha...
  12. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata taste ya kumiliki gari, mwezi January naachana na babywoka nanunua Subaru Forester

    Nimejifanyia self-assessment katika kipindi cha miezi mitano nimeona kinatosha kunipa picha ya utamu na uchungu wa kumiliki gari. Wakati naagiza gari uchumi wangu haukua stable kivile, plus little (almost none) experience ya kumiliki gari ikapelekea nikaagiza babywoka. Miezi minne kutoka sasa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

    Wakuu Ni benki gani nchini ambayo naweza kutuma TT Japan ili ninunue gari huko? SI mnajua Tena Mambo ya OFFER unapewa muda maalumu uwe umeshalipia.
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi gari leo ilikuwa nifungwe kwa kuua kwa kukusudia

    Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu. Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa...
  15. Nkobe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi NEC walimuita Magufuli na Kumhoji juu ya kauli ya "Mkurugenzi nakulipa mshahara, nakupa gari halafu umtangaze mpinzani!!"

    NEC imemuita mmoja wa wagombea Urais kutoka chama fulani cha upinzani kumhoji juu ya kauli zake kwenye kampeni za uchaguzi, hivi kwanini hatujasikia NEC ikimuita na kumuhoji Rais Magufuli pale alipowataka wakurugenzi wasitangaze wapinzani hata kama wameshinda?
  16. Ngumu kumeza

    JamiiForums Tanzania Wakuu Nimeipenda hii gari Toyota Collora Fielder

    Wakuu Heshima Kwenu, Naomba kufahamishwa kidogo kuhusu hii gari,kwa upande wangu naona ni gari nzuri kwa muonekano ni ndoto zangu kuja kumiliki hii gari, maana naona haizungumzwi sana katika hili jukwaa. Naomba kufahamishwa machache kuhusu hii gari: - Changamoto zake - Ulaji wake mafuta -...
  17. tamsana

    JamiiForums Tanzania Oil pressure light kwenye dashboard ya gari

    Wadau amani iwe kwenu. Nina swali dogo tu ningependa kupata ufafanuzi ili kuongeza uelewa. Ni kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea? Vile vile napenda kufahamu athari zinazoweza...
  18. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

    Juzi fundi aliniuliza mara ya mwisho kufanya service gari langu. Nikamwambia mie tangu niagize nikaanza kutembea nayo sijawahi kufanya intensive service mpaka ipate tatizo ndio naileta kwako. Akashangaa sana. Akasema kawaida unaponunua gari either kwa mtu au kutoka nje, kabla hujaanza kuzurura...
  19. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  20. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kapita na Side Mirror ya gari yangu. Nipo kwa fundi hapa narekebisha!

    Sijamaliza hata miezi mitatu tangu nimiliki funguo ile watu wanaichomekaga kwenye ruksi za suruali inaonekana kwa nje hivi, nishaanza kuona 'joto ya jiwe' ya kumiliki usafiri! Juzi Jumatano nilikua natoka kwa Aziz Ally kumpeleka 'rafiki yangu wa kike'. Wakati narudi ishakua usiku mishale ya...
Back
Top Bottom