Hutopata acceleration na pia hutopata fuel economy.
Mie naona ni bora kununua gari yenye 1,500 cc kushuka chini ili upate fuel economy au ununue gari ya Petrol yenye 3,000cc kwenda juu upate gari yenye acceleration ( inayotoka unyoya) kuliko kununua gari ambayo huku haipo na kule haipo yenye...
Namiliki babywoka jamii ya IST, Swift, Honda Fit au Passo.
Asubuhi napowasha gari au mfano gari nimepaki mahali muda mrefu, nipokuja kuwasha gari si inakuaga P?
Okey, sasa nashika gear lever naweka Reverse kutoa parking/getini. Kisha nikipeleka D au L au 2 ili niondoke, gari inafanya kama...
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
Leo sio Bugatti, Mclaren wala Koenigsegg , mambo this time yako tofauti na hii ni rekodi ya tangu mwaka 2018.
Devel Motors yenye makazi yake mjini Dubai waliachia huo mdude 2018 wenye top speed ya 310 mph ( 500 km/h ) 😃 😃
Model: 2018 Devel Sixteen
Year: 2018
Top Speed: 310 mph (500 km/h)...
Baada ya muda mrefu kuteseka na daladala hatimaye Nimeagiza chuma , chombo ipo kwa bahari unakuja inavuka bahari kutoka Japan
Nimenunua manual ili kuepuka kuazimwa ovyo .
Chombo iyo 14m lazima niwatembezee moto
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa
Ni imara na haikati misumeno
Ina watts 550
Ina sehemu ya kusagia nyama
Ina warranty mwaka mmoja
Bei 1,350,000 tu
Tunapatikana kariakoo ndanda st
Tunadeliver free kwa dar pia.
Call/text/WhatsApp 0656666662.
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu.
Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits.
Nashukuru.
Watu wengi wanaoendesha magari aina ya Alteza ama Subatu wana matatizo, ni watu wanaopenda kusikika ama kujulikana kama wapo, watu wanaopemda kutambulika uwepo wao, kwa kitaalamu tunaita Histrionic personality disorder (HPD) ama attention seeking disorder.
Mtu yeyote ambaye anapenda kutambulika...
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni.
Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
Sijui mimi ni mshamba au vipi! Lakini ukweli ni kuwa inaonesha unga huo umekuwa dili, unatolewa sana.
Sasa je, hakuna madhara kwenye gari lililotolewa huo unga?
Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter:
Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
Ni kiungo wa nkana crispin mulenga kafariki jana kwa ajali kacheza juzi meci ya charity shield dhidi ya indeni team iliopanda daraja ambayo anachezea mcheaji wa zamani wa utoplo fc Juma abdul,kwenye picha huyu hapa yuko mbele ya ramadhani singano messi
IST/Vitz/Swift/Honda Fit
Ninamiliki moja kati ya hizo babywoka.
Nachotaka kujua ni je: Gari yangu itakua na matatizo sehemu ama ndio kawaida ya hizi babywoka.
Siku za weekend demu wangu huwa anakuja kunitembelea getto (mitaa ya Ubungo Riverside).
Jioni namrudisha kwao, anaishi Bunju na dada...
Wanaosema treni ambayo inatumia siku mbili kufika Arusha ni kujidanganya. Hili ni gari moshi ambalo haliwezi kuendana na nyakati hizi za haraka.
Wafanyabiashara watatumia kwa cement pekee lakini abiria wataichoka kwasababu ya muda mrefu wa kusafiri.
Watu wa kaskazini ni wafanyabiashara sasa...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Upi ni uamuzi sahihi wa kufanywa na abiria pindi gari (hususan daladala) inapoanza kurudi nyuma baada ya kushindwa kupanda mlima?
Je, ulishawahi kujikuta katika hali hii na ulifanya nini?
Nimeamua kuomba ushauri...
Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniruhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani.
Natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa ajili ya kazi ya kubeba abiria. Namba zangu ni 0742783775
Habari wakubwa kwa wadogo.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu natafuta gari ndogo nitakayoingia mkataba na mwenye gari wa kuifanyia kazi kwa mkataba na malipo ya kila wiki.
Kikubwa zaidi isiwe na cc kubwa na makubaliano ya kiasi cha kulipwa hayo tutajadili na mwenye gari...
Salaam,
Katika kujadili masuala mbalimbali yanayohusu magari, nilipata kuweka moja ya mitandao wa uuzaji na ununuaji wa magari Uingereza.
Mtandao huu unaitwa Autotrader, ni moja mitandao maarufu na ya uhakika katika kununua na kuuza magari (mapya na yaliyotumika).
Sasa ndugu Bavaria alipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.