gari

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  2. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na gari la matangazo ya mnada nimeogopa mikopo toka taasisi za fedha

    Leo asubuhi nikiwa nazurura zurura mtaani kama kawaida yangu. Nimekutana na gari la matangazo ya mnada wa hadhara likitangaza uwepo wa mnada kwa mali za watu walioshindwa kufanya marejesho ya fedha walizochukua toka taasisi za kifedha kama mikopo. Mali zinazouzwa ni majumba na magari. Jambo...
  3. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

    Habari Wana jukwaa? Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
  4. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

    Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari...
  5. KGARE

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  6. yuda75

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  7. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

    Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, Mbunge mstaafu Upendo Peneza wa CHADEMA alibariki manunuzi ya gari ya DED kwa TZS 460 milioni?

    Kwa kawaida tumezoea kuwaona Wabunge na madiwani wa CHADEMA wakitoka mbele haraka haraka kutoa taarifa pindi wanapohisi kuna ufisadi kwenye maeneo yao. Kwa mfano Devotha Minja wa Morogoro aliweka wazi ufisadi uliokuwa unafanywa kwenye ujenzi wa stendi ya msamvu wakati Rais Magufuli...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwani gari Toyota VX "Geita Model" ni bei gani dukani? Na taratibu za manunuzi serikalini zikoje?

    Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti" Jana nikamsikia waziri wa Tamisemi Jaffo akisema DED wa Geita alitumia mwanya wa kuvunjwa Baraza la Mawaziri akakimbia haraka haraka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  11. Mama Debora

    JamiiForums Tanzania Njia gani simple ya kuzuia ule unga kwenye terminals za betri ya gari?

    Jana nilipaki gari yangu mahali kama dakika tano hivi nikashuka kununua matunda. Kurudi nawasha gari inatoa mlio krrrrr lakini starter haipigi. Kifupi haikuwaka. Hangaika sana pale. Nikasema si nilikua naiendesha sasa hivi? What happened... Nikashuka nikafungua boneti, nikachek Coolant ipo ya...
  12. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  13. Manyema

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana. Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye...
  14. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  15. Zamina

    JamiiForums Tanzania Nipande gari gani kutoka Ali Hassan Mwinyi Road kwenda Bamaga?

    Habari zenu. Naomba kujua kutoka mtu anayejua nipande Daladala ipi kutoka Aga Khan kwenda Bamaga.
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nunua gari ambayo hujawahi kuona Tanzania

    Toyota Landcruiser (Unique car) Make TOYOTA Model FJ Cruiser Engine size (cc) 4000 Fuel Petrol Color Silver 70,000,000
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mwili wa binadamu ni kama gari

    Unaambiwa usiku mwili hautakiwi ule ushibe sana halafu ukalale ni sawa na gari ujaze mafuta full tank halafu ukapaki Unaambiwa mazoezi siyo adhabu asubuhi baada ya ufanya mazoezi hutakiwi kujipongeza kwa kulala usingizi kama ishara ya kupumzika ni sawa na gari uliwashe na kupiga mares kibao...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kuagiza Gari nje ya nchi vs Kununua Yard

    Ndugu wazalendo nawasihi kwa Upendo Mkuu Kama unataka Gari nzuri na kwa Bei nafuu ni Bora kuagiza kuliko kujilipua Yard ambako Gari zinakua zimetumika Sana Zanzibar Kisha zinavushwa Bara wanaondoa zile Plate number za kule na kupeleka carwash na kupulizia perfume ukijichanganya imekula kwako...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inalia mlioo wa kukakamaa napokata kona mpaka mwisho, tatizo ni nini?

    Ni gari aina ya toyota sprinter, unapozungusha steering wheel (msteringi 😂) kwa sana inaanza kupiga kelele ka ka ka ka, kuna vishindo unavisikia kwa mbali vinavyoambatana na hio sauti. Na kama vp tusaidiane bajeti ya kutegemea, nsije pigwa na mafundi. MREJESHO Sehemu ya kwanza alikopeleka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
Back
Top Bottom