gari

  1. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Gari Inavuma kuanzia speed ya 80, Msaada wana JF

    Heri ya Mwaka Mpya. Namshukuru Mungu ni mzima wa afya sana, Mimi ndio nimemiliki gari kwa mara ya kwanza kabisa kwenye maisha yangu haya, sasa mambo mengi nakua siyaelewi na nazidi kujifunza Nina gari Inavuma sana ikifika speed ya 80, nilipeleka kwa fundi akasema bearing zimeisha (hii gari...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

    Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa. Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco. Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Matuta yote barabara kuu za mikoa yaondolewe; vivuko viwekwe vya chini ya barabara watu wakimbize magari wawezavyo bila vikwazo. Itapunguza rushwa pia

    India ina watu wengi mno duniani lakini barabara za mikoa ukiwasha gari unatimua mbio bila shida huoni tuta popote. Vijijini hata kuwe na wafugaji vipi barabara huwa na kivuko chini kipana tu cha kupitisha hadi mifugo kwa hiyo juu yanakuwa yanapita magari tu kwa spidi bila hofu ya kugonga kiumbe...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  5. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo tofauti gari ya Mzungu na Mjapani

    The picture tells 1000 words...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  7. Nova Co Ltd

    JamiiForums Tanzania Nunua taa ya gari yako kwa nusu bei

    SHAM AUTO MOBILE HEADLIGHT COMPANY Ltd 2021/2022 Tumezalisha awamu nyingine ya lenzi mbadala kwa taa za gari aina ya TOYOTA IST kwa bei nafuu sana kwa seti gharama ni 240,000 OFISI ZETU ZIPO ZANZIBAR BARABARA YA MBWENI KARIBU NA CHUO CHA AFYA (SUZA) WASILIANA NASI KWA SIMU...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Kinondoni yaokoa gari na fedha taslimu zenye thamani ya milioni 92

  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Kwa Wamiliki wa Toyota na gari zote zinazotumia CVT

    Toyota anatumia gearbox za aina tatu. 1. A type, ambazo zimefungwa kwenye SUV nyingi kubwa za Toyota. Mfano A343F iliyofungwa kwenye Toyota prado TX 1997. 2. U type, ambazo zimefungwa kwenye gari ndogo nyingi za toyota. Mfano U341E ambayo ipo kwenye NADIA . 3. CVT, ambazo zimefungwa kwenye...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuingiza gari bandari ya Dar

    gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
  11. Njiwa wangu

    JamiiForums Tanzania Kwa Mwenye gari ndogo Kahama

    Habarini zenu wanajamvi nahitaji gari ya kukodi kwa safari ya siku tano kutokea Kahama kwenda Katavi kisha Sumbawanga Mbeya na Iringa nakuja kutokezea Singida na kurudi. Gari ninayohitaji yenye capacity 2000 kushuka Chini ila isiwe noah na iwe gari ambayo unaweza himili masafa hayo bila shida...
  12. Mapank

    JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea gari za nissan Y62 isifanye vizuri kama nissani y61 na y60

    Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa magari ya Toyota na Nissan kwa hapa Tanzania. Ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanikiwa kuteka soko la magari kwa nchi yetu kwa kiasi kikubwa. Kama kichwa kinavyojieleza toleo la Nissan y62 lina muda sasa lakini sioni watu wakiyakimbilia kama ilivyo tokea kwa matoleo ya...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?

    Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide. Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea? Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vituo vyake vya kujazia viko wapi? Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amtaka Mkurugenzi kuleta gari kwa ajili ya Sekondari ya Tunduru

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amempa siku mbili Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoni Ruvuma, Gaspar Balyomi, awe amepeleka gari katika shule ya Sekondari Tunduru kwa ajili ya kuwahudumia walimu na wanafunzi shuleni hapo. Ametoa agizo hilo Januari 2, 2021, wakati akikagua...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kuna gari imesimama nje ya nyumba yangu getini naogopa kutoka nje

    Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kubadili mwonekano wa hii gari iwe Monster

    Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road. Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili rims? Maana rims nazotumia ni zile ambazo zilikuja na gari na nimekuwa nikiona rims flani kariakoo...
  17. zachaja

    JamiiForums Tanzania Freight Clearing and Forwarding Services

    S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa...
  18. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale BMW 5 series 5231. Jipatie gari hii kwa bei poa

    BMW 5 SERIES Year made: 2007 Engine power: 2700 cc, Petrol engine Seats: 5 Doors: 4 RWD..: inasukuma kwa nyuma/Rear Wheel Drive. Mileage: 71,000 kms Bima imeisha Kadi yake ipo Location Dar es salaam, mbezi beach Bei 12.5mil Punguzo kidogo kwa mteja serious Piga simu 0744 033 555
  19. EINSTEIN112

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama afariki, mwanaye anusurika baada ya gari kutumbukia baharini

    Winnie Achieng (33) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kutumbukia katika bahari ya Hindi mjini Mombasa, Kenya huku mwanaye wa miaka 12 akiogelea hadi ufukweni. Taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi inaeleza kuwa Winnie alifariki wakati akipatiwa matibabu hospitali muda mfupi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu Matairi ya gari naomba ufafanuzi

    Mwenye uzoefu na tairi za gari kuagiza nje..ni zipi nzuri.kampuni gani na nchi gani? Soko lake kwa Tanzania limekaaje
Back
Top Bottom