gari

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari na autocom Japan

    Habarini wana jamvi, Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt). Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

    Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber/Bolt (natafuta gari)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya uber/bolt, ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe...
  4. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Wakuu habari za muda huu? Miezi kama 6 iliyopita, nilinunua benz kwa mtu. Gari ni Mercedes E280. Nilikagua chassis number vizuri na kujiridhisha umiliki wake. Nimekaa nayo vizuri bila tatizo. Siku chache zilizopita nikashauriwa niibadilishe umiliki. Katika kuiangalia vizuri kadi ya gari...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Apona ghafla tu baada ya Gari ya Wagonjwa iliyokuwa ikimkimbiza Hospitali kupata Ajali na Kuua Muuguzi na Dereva

    MGONJWA aliyekuwa akiwahishwa katika Hospitali ya Wilaya Same, Ester Paresetwi (35) na gari likapinduka na kuua muuguzi na dereva amepona mara tu baada ya ajali. Katika ajali hiyo ya gari la wagonjwa, muuguzi wa zahanati ya Kisiwani wilayani humo, Joshua Jacob (29) na dereva, Jumanne Makumbe...
  6. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Bei ya petrol imepanda tena lini?

    Habari ndugu. Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda. Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kufunga mkanda dereva nusura akanyagwe na tairi la gari

  8. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Tyre cover la Gari aina ya RAV 4 kill time

    Wanabodi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe! Asante.
  9. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle na wanauza kuanzia laki hadi laki tatu kwa kiloSo kuwa makini na mafundi wako. Catalytic converters...
  10. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

    Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona nataka kumuacha yaani nimemchunia hata meseji situmi wala sionani naye bas hapo atakuja kwa magot...
  11. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa kunifundisha gari manual Dar es Salaam

    Habari wakuu. Nimejifunza udereva mikoani, kwa sasa nahitaji mtaalam wa kuendesha town center anipe mafunzo, gari itakuwa yake, kwa sasa bado sijaagiza gari yangu. Malipo maelewano Piga 0713 039 875
  12. GwaB

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Passo Vits na Ist, Moja kati ya hizo inatafutwa

    Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!. Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti million tano. Karibuni. 0715354646
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Unawezaje Kujua Gari yako Inaingiza lita ngapi Ikiwa Full Tank?

    Wakuu heshima kwenu. Well, kama mada inavyojieleza wakuu kama una gari may be umenunua show room au mkononi kwa mtu utajuaje kuwa Inaingiza lita ngapi pale utapokuwa umejaza full tank? Nawasilisha.
  14. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ya million 2

    Bila shaka mpo salama. Nipo mkoani na nahitaji kwa bajet tajwa hapo juu, aina ya gari iwe Corola, Carina, Cresta na zingine zenye muundo huo. Kwa mwenye nalo ani pm. NB: Wakosoaji endeleeni kukosoa, kuhusu kipato siku nikikosa hela ya service nitaipaki. NINACHOTAKA GARI.
  15. taiter

    JamiiForums Tanzania Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

    Habari wakuu, tunakumbushana kuweni makini na waosha magari mnapowaachia funguo wakati wa kuosha dinga zenu, Jamaa kapeleka gari aina ya Ford Ranger carwash huku Dom kaacha funguo na kuondoka, mwoshaji kamaliza akachukua ford ranger ya Mteja kwenda kutamba nalo, kilichotokea kala mzinga ndinga...
  16. aka2030

    JamiiForums Tanzania Msaada gari ipi nzuri kati ya subaru Forester xt Outlander na Nissan Dualis

    Members naombeni mawazo hapo gari gani nzuri kwa Mtanzania mwenye kipato cha kawaida anayetaka kumiliki gari ya juu
  17. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Gari inatikisika mtikisiko mkubwa mbele ya bonnet

    Gari linatikisika kitu kizito mbele ya bonnet linapokuwa linatembea kwa spidi ya kuanzia km 80 kwa saa, na likiwa kwenye gia namba tano (gari ni manual). Mwenye kujua hili ni tatizo gani atakuwa wa msaada sana. Fundi wa gari amejaribu kubadilisha bush za mbele lakin bado lipo, fundi yeye...
  18. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu. Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri. Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huyu dereva wa gari sio Rais Samia kweli?

    Tafasiri yangu inasema huyu ni Rais Samia. Amechonga barabara inayompeleka shimoni. Naye katika kuendesha gari lake anataka kulitumbukiza gari shimoni.
  20. Amina68

    JamiiForums Tanzania Nauza gari mtsubishi m4.5

    Aina shida yoyote ile,njoo tuyajenge
Back
Top Bottom