Habari
Gari inapokuwa kwenye mwendo nikaachia accelerator bila kufunga brake halafu nikikanyaga tena gari inastuka. tatizo ni nini. hali hyo haionekani ikiwa gari inaanzia kwenye kusimama.
Asante
Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta,
Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa.
Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto.
Mmekutana Leo. Unamuomba namba Leo na anakupa Leo!
Wale members wa kiume msiojua kutongoza, Mr Nay...
Tafathali rejea hapo juu,
Binafsi natafuta gari ya mishe za hapa mjini.
budget 4mil
Namba kuanzia B..japo hata Kama una A unaamin Ina thaman tupia haina shida maana mi fundi ntaikagua mwenyew
Vits RS /ist/gx110 ndo huwa mpenz
Dondosha picha na namba nichambue
Habari ya Majukumu humu Ndani.
Naomba kusaidiwa hiyo hoja. Je, nitajuaje gari yangu inachemsha?
Gari yangu nimeona haya, Je ndiyo Kuchemsha au mwanzo wa Kuchemsha?
1.Maji nikiweka yemejaa Mpaka Juu, nikiwasha gari baada ya muda nikazima nakufungua Radiotor naona maji hayaonekani...
habari za jioni wakuu, niliazima gari ya rafiki yangu kwenda nayo sehemu flani, wakati wa kuondoka sehemu hiyo nilijaribu sana kukanyaga brake ili ni push the button kuwasha gari ila ikagoma kabisa,
Pembeni kulikua na bodaboda wengi nkajaribu kuomba msaada wakaniambia eneo hilo kuna minara...
Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo.
Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
Ni Mjasiriamali maarufu Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikuwa anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro.
Alikua pia maarufu kwa jina la FULL DOZE na GDM
Bwana ametoa bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo...
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this...
Kuna jamaa yangu amestaafu hivi karibuni. Kanunua Harrier, hajui kuendesha, kuendeshwa Mara moja kwa wiki akienda kanisani, kwenda sokoni kwa mguu! Hivi jamani ni salama kweli hapo?
Msaada kwenye tuta
Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana.
Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake
1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti,
2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari...
Habar wanajamvi,
Je, Kutengeneza gari ambayo haijatumika miaka takribani mitano. Kufix injini mpya na vipuri vingine ambavyo ni chakavu..HIYO GARI ITAKUA DURABLE?..haitasumbua kila siku matengenezo?
Gari ni range rover 4.6HSE..
Msaada kwa wataalam na wazoefu
Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe.
Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
Wakuu nataka kukunua kati ya bajaj au gari ndogo mfano Vitz/IST or the like ili nimweke dereva apige biashara ya Uber au Bolt.
BAJAJ
Kwa upande wa Bajaj ikiwa mpya bei ni 7.35M na kwa sasa walio wengi wananunua na kuingia mkataba na dereva kwa miaka miwili ambapo kwa siku ni 20k bila kujali ni...
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Habari za wikiendi pevu wadau wa JF,
Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza
bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali.
Ni kweli kuagiza kutoka nje ni nafuu kuliko kununua hapa nchini, lakini ni lazima kuwa mwangalifu kuepuka kupata hasara na...
Salaam wakuu,
Naombeni ushauri ninune gari gani kwa milioni 6. Nahitaji gari yenye fuel efficiency nzuri, space ya kutosha hasa mbele (mimi mrefu) pamoja na upatatikanaji spare.
Nitashukuru pia kama mtapendekeza kwa gharama hiyo napata namba ipi?
NB: Hii ni ya kununua kwa mtu.
Gari yangu ya diesel na nikawekewa petroli, nimewekewa mara mbili!
Nimeapa kutorudi kuweka mafuta hapo.
Kuna katatizo hapa.
Na manager aakawa mbishi na kusema ni shauri lako!
Sijui EWURA wanasemaje hapo.
NB
Kuna wadau mtawaona huko mbele wanadai nimeandika kwa chuki binafsi au nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.