gari

  1. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini? Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza. Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja. Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?
  2. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

    Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa. Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nina mil 7 nahitaji gari IST

    Habari wadau, Naitaji gari ya kununua kwa mtu. Iwe Toyota IST. Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo) Isiwe imeguswa injini Namba D ndio itapewa kipaumbele. Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali. Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo...
  4. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa. Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine, Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon monoxide pamoja na Oxygen gas. Engine za Diesel hutoa NOX, Oxygen gas pamoja na Carbon dioxide...
  5. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

    Mungu atunusuru Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

    Samahani kidogo kwa usumbufu. Naomba ushauri hapa Nianze kujenga nyumba then nioe kisha ninunue gari Nioe, ninunue gari kisha nijenge au Ninunue gari, nijenge kisha nioe, au vyote. Upi ni mlolongo mzuri? ⒨⒴ ⒡⒰⒯⒰⒭⒠.
  7. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Salaam! Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki. Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka. Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni nuksi Kwa taswira ya mtu kuonekana kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu

    Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car" Suluhisho ni nini? Kufanya maombi mazito kama ni mkristo... Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu Kufanya tambiko Zito la...
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Mnaopakia watoto seat za mbele za gari, tafadhali airbag zinaua

    Watu wengi wanaendesha gari za kijapani. Hivyo hiyo sticker huwa inakuwa na maandishi ya kijapani. Lakini kwa gari za wazungu, hiyo sticker inakuwa kwa kiingereza. Umewekewa tahadhari kwamba kifo au majeraha makubwa yanaweza kutokea. 1. Watoto wa miaka 12 au chini ya hapo wanaweza kuuawa na...
  10. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Gari kutikisika Injini ikifikia speed 100Khr na kuendelea!

    Habari ya Majukumu Wakuu! Nina gari yangu Ndogo IST, Nikijaribu Kukanyagia walau nifike 120Km/Hr, Speed ikifika tu 100 na Kuendelea napata Mtikisiko Mkubwa saana wa Injini. Naomba Kueleweshwa tatizo lake na Tiba yake! Naombeni Karibuni Kunisaidia kutatua hili tatizo pamoja na Chanzo Chake...
  11. Scaramanga

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa tozo za maegesho ya gari

    Utaratibu huu mpya hasa jiji la Dar es salaam kuhusu tozo za maegesho ya gari wahusika wautizame upya.Sipingi kuhusu toz hii bali utaratibu siyo mzuri na unaleta urasimu au usumbufu kwa watumiaji wa magari pale wanapoegesha. Sasa hivi ukiegesha gari waliopewa jukumu kusimamia wana scan na...
  12. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Iwapo una mpango wa kujiagizia gari

    TAHADHARI TAHADHARI Punguza usumbufu kwa kutojiagizia gari mwenyewe Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari Mada hii fupi inakuja baada ya kuona baadhi ya ndugu zetu waliojiagizia wenyewe au kupitia watu wao wa karibu wenye uzoefu na matokeo yake gari zao zikachelewa mpaka miezi 6...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari yangu ruksa kuvunja pia

    TOYOTA KLUGER Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote CC 2360 Millage 92,000km - Original Safari Leather Seat New tyres Sports reams 18.5m-inapungua call/Watsapp 0715140001
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

    "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie Gari hii Manual Gear kwa milioni 3.5 tu

    Gari manual ni chache sanaa. wahi hii usiikose. Haina tatizo lolote na inatumika mpaka sasa. Cc 1600 engine 7A full ac. call 0683011003.. Dar es salaam
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  17. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Sina haja ya kueleza mengi. Mtakumbuka mwanzoni mwa mwezi huu nilikuja hapa kueleza kuwa nina nia ya kununua gari kutoka kampuni ya wauzaji SBT japani. Ni mara ya kwanza kuagiza ktk kampuno hii. Nimezoea Beforward. Baada ya kufanya process zote za malipo na gari yangu kuaninishwa kama tayari...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Kuagiza gari na autocom Japan

    Habarini wana jamvi, Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt). Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku aondoka na gari baada ya kumtwanga Dullah Mbabe

    Leo kama kawa nitakuwa nawaletea updates za pambano hili ambalo kimsingi mmoja ataondoka na gari. Aidha kutakuwa na mapambano kadhaa ya utangulizi. === TWAHA KIDUKU AMTWANGA DULLAH MBABE, AJINYAKULIA GARI Bondia Twaha Lubaha maarufu Twaha Kiduku amejinyakulia gari baada ya kumtwanga Abdallah...
Back
Top Bottom