gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  2. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Huko uliko kilo ya maharage ni kiasi gani? Hapa Dar Tsh 3,400

    Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja. Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini wanaumia sana na watakosa milo iliyokamilika. Nawasilisha
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
  4. The Eric

    JamiiForums Tanzania Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

    Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles..... Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin. Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking...
  5. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua

    Yemen yathibitisha ilitumia kombora la hypersonic ambalo ni ngumu kulitungua Waisrael zaidi ya milioni 2 wakimbilia mashimoni BREAKING: [emoji1267][emoji1134] Yemen confirmed that they used a hypersonic ballistic missile in the attack on Tel Aviv Yemeni Armed Forces says it hit an Israeli...
  6. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Ni Bidhaa Au Kifaa Gani Sitakiwi Kukosa ndani ya nyumba?

    Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba. NI Bidhaa gani ni za muhimu kuwepo ndani ya kwa maisha ya sasa?
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaonyesha udhihilisho wa uwepo wa Mungu hapa duniani? Hata kama wewe ni atheist!

    Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  9. pachawako

    JamiiForums Tanzania Hivi suala la mafuta kuwa machafu na masafi baadhi ya sheli lina ukweli ndani yake? Kuna madhara gani?

    Habari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto. Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu? Na kama ni kweli kuna mathara gani unapoweka hayo mafuta kwenye chombo cha moto?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji amekataa tusioane kwakuwa mimi na binti ni madhehebu tofauti, nifanyeje?

    Habari za jioni mabibi na mabwana natumaini hamjambo nyoote, Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk. Mimi ni kijana wa miaka 28 katika kutafuta maisha kwangu nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kuachana na uzinzi...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

    Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati? Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji. Navyomuona ana kitu atafika mbali. Rais Samia mtizame huyu Mzee

    Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali. Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea. Nimemkubali ana mapenzi sana na...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  16. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

    Sababu ziko tofauti.. Mimi 1. Far cry 6 Hili rasmi nmelifuta leo, sikulimaliza bt sikulipenda nahisi game play yake halivutii kabisa. Gb 100 2. Dying light 2; stay human graphics nzuri ni third personal, bt bora ingekuwa kutumia bunduki sasa ni mwendo malee weapon tu. Lilikuwa na Gb 90+ 3...
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Radio Banana FM mnashida gani?

    Moshi nadhani inapatikana huko.
  18. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani vya kuzingatia unapoanzisha kampuni ya Usanifu Majengo?

    Kama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)? Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza, Ahsanteni.
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forwarding?

    Habari Wana Jf, Ni kampuni gani ya kuaminika inayofanya clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha yenye bei iliyo rafiki? Naombeni msaada ikiwezekana na office zao zilipo
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nikuandikie nini? Itakugharimu kiasi gani?

    Sio wote tunajua umhimu wa WRITEUPS za kimkakati na kimaendeleo hasa katika kuleta ukamilifu wa WAZO lako. Wengi tuna mawazo mazuri sana kichwani ila yako random..ndipo inapokuja HAJA ya kuandika kimpangilio wenye MANTIKI. Wazo likiandikwa huleta mtiririko sio kwako tu hata kwa wadau wengine...
Back
Top Bottom