gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Huko ulipo lita moja ya maziwa ni bei gani?

    Muda huu nipo Mwanza Nyamagana, huku bei ni elfu 2 kwa lita maziwa fresh. Je wewe uko ulipo lita ni bei gani. Sio mbaya kama ukiwa mahususi kwa kutaja mkoa, wilaya hata kata kama ikiwezekana. Asante
  2. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

    Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika. Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu...
  3. De Professor

    JamiiForums Tanzania Madudu ya APP za mikopo online.Wizara husika Mnakazi gani ofisini??? #Wizara ya Fedha #Wizara ya Mawasiliano (TCRA)

    Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
  4. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

    Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo: Ripple (XRP) Cardano (ADA) Tron (TRX) Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu: - Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164 - Binance coing (BNB) mwaka 2018 mwanzoni (na pesa nilikua nayo kabisa) price ilikua $5, leo hii 1 BNB =...
  5. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  8. Burapaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo: 1. Bachelor degree in Banking and...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  10. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Mkazi gani wa Dar kaimbwa na Madilu system

    Kwema wakuu ? Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar es salaam Lengo la uzi huu ni kumfahamu huyo bwana alikuwa nani na alikuwa na ukaribu gani na Madilu...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

    Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini. Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanyika Kenya hakifanyiki Tanzania?

    Wanabodi naomba tujiulize na kujadili bila ushabiki wa kivyama. Hivi ni nini hasa kinachofanyika Kenya ambacho hakifanyiki Tanzania kiasi cha kuwafanya vijana wetu kuona tuko sawa wala hatuhitaji kufa kwa ajili ya kesho yetu? Vijana Kenya wanalalamikia Uhuni katika Tume ya Uchaguzi, IEBC. Sisi...
  13. Donkey

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani Mwalimu atumie Ili kuelewa somo hili

    Mwalimu atumie mbinu gani mwanafunzi kuelewa somo hili. Msaada wa haraka unahitajika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya nondo Mwanza, Pwani na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?.

    Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo. NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara gani Kati hizi zitamlipa huyu kijana anayeanza maisha.

    Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara. Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki. 1. Kilimo Kwa mtaji huo atafute eneo alime mazao ya muda mfupi kama nyanya, mahindi na maharage, changamoto...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika umeiona hapa?

  17. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yamekupa maendeleo gani?

    Hebu kuwa mkweli hapa katika hili jambo, ukiulizwa Leo kwamba mahusiano yamekupa faida gani au maendeleo yapi unawezaje kujibu Vijana wengi tunejikita sana na kutumbukia katika hili janga la mahusiano bila kutambua faida ama hasara gani zilizopo humo Let's majibu hapo
  20. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
Back
Top Bottom