gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa Tajiri utaoa Mwanamke wa aina gani?

    Eti, utaoa Mwanamke wa aina gani na hutooa Mwanamke yupi? Weka vigezo vyako hapo chini Mkuu.
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

    Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu. Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

    umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema? Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

    Habari Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama.. 1.Pua kucheza 2.kung'ata ulimi 3.ngozi juu ya jicho kucheza 4.na viungo vinginevyo.. 5... 6... Asante. Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kitu gani kinawafanya muogope mnapokua kwenye mahusiano Na mwanamke aliyekuzidi kipato

    Hello JF, Wanaume kwanini mnakuwa hamjiamini ukiwa kwenye mahusiano Na mwanamke au ukioa mke aliyekuzidi kipato ingawa unakuta anakuheshim vizurii. inferiority inampelekea mpaka mwanaume kuanza kumnyanyasa mwanamke kimwili,kiakili Na kihisia....why ebu mtusanue
  6. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakakushangaa kuwa na wewe kumbe umo ila huvumi.

    Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu? Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

    Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

    Salaam Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari. Msaada, asanteni
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  10. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
  11. 2v1

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya uache tabia fulani

    Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu. Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi. Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo rahisi ata kidogo, kwa sababu nilisha jaribu sana ila nikashindwa. Wana jamvi elezeni pia visa vyenu...
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  13. trojan92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni simu gani hutakaa utumie?

    Ni simu aina huta diriki kununua tena au hata ukipewa bure hutaki kabisa kuisikia?
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Forums gani hapa JF hujawahi kuingia?

    Amin usiamin hapa JF kuna majukwaa (Forums) nyingi sana, kuanzia Jukwaa la siasa, Hoja mchanganyiko, Jukwaa la mambo ya kimataifa etc. Licha ya kuwa member wa JF kwa miaka mingi lakini kuna majukwaa nilikuwa sijawahi kuingia kabisa mpaka hivi karibuni. Je wewe umewahi kutembelea majukwaa yote...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kauli gani ya motivational Speaker iliwahi kukuacha hoi?

    Kuna huyu aliyesema; " I stared my restaurant with one spoon of rice and one drop tomato sauce"
  17. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ugonjwa huu unaitwaje? Unatibika kwa dawa gan?

    Mtoto anaumwa kama ivyo ni ugonjwa gani na unatika kwa dawa gan?
  18. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

    Mtu unajianzishia Uzi wako anakuja kucoment ilimradi akukere. Tag anyone you wish. Me naanza na Lucas Mwashambwa
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

    Habari za Sabato Mkûu! Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia unamsifia Mwanamke mwenzao àmbaye hajaolewa lakini amefikisha Umri WA kuolewa. Mfano wa kauli hizô; 1...
Back
Top Bottom