Amemaliza six mwaka huu kombi ya EGM,
Ufaulu: Economics D, Geography D, Maths E,
Naomba ushauri wenu kwa fani anazoweza pata ajira kirahisi au akaweza kujiajiri.
Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani.
La haulaaa jioni kurudi nakuta ile hela kanunua masufuria, msosi wa nguvu nguo zetu zimefuliwa yupo kwenye khanga moko.
Sasa ni...
Habari
Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing students if you first year GPA is more than 4.0 and you are a science student
Thanks in advance, any...
Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani.
Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku ambayo chama cha mapinduzi,CCM kilitoa majina ya mchujo kupata TANO Bora ya mgombea uraisi mwaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake.
Karibuni tujifunze
Kichwa Cha habari chajieleza naomba msaada Wana JF maana nimeomba vya serikali nimekosea hovyo naulizia vyuo vizuri vya private maana Nina mpango wa kujiendeleza na degree
Naomba kujuzwa!
Japo sivutiwi na mwonekano wa nje wa gari tajwa, linaonekana lina upekee usio wa kawaida. Bei yake ipo juu sana.
Ningekuwa na ndugu au rafiki mwenye nalo, ningeomba alau lifti ili niujue uzuri wake halisi. Lazima lina upekee unaolifanya liwe ghali sana kuliko magari mengine...
Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako
hizo pesa za usafiri sijui wanatoaga wapi, hii inanikumbusha ule usemi wa kwamba unaweza ukafa Kwa njaa alafu siku ya...
Salaam, Shalom!!
Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana.
Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda.
Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
Ughonile..
Huu mtandao pamoja na kuwa naupenda ila kuna baadhi ya members wanaboa sana, unaweza kuingia humu kwa bashasha ila ukatoka na huzuni sababu ya members wachache vichwa panzi siku yako ikaharibika.
Kuna hawa chawa wa Bi Tozo wakiongozwa na Lucas Mwashambwa & Tlaatlaah , itoshe kusema...
Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi.
Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.