gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani wa simu ni salama kwa matuzi?

    Nisiseme sana.... Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake? Mitandai ambayo ipo tz ni; 1.Tigo 2.Vodacom 3.Airtel. 3.Halotel 4... Kama Kuna MWENGINE muoredheshe... Sasa kati ya hiyo ipi salama?
  2. N

    JamiiForums Tanzania "Ngama,kupachuka,mongwe,vilei,kiberiti" Uliwahi kukutana na maneno hayo wapi na mwaka gani?

    Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania. Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka miwili,minne au sita. Mimi binafsi nilikutana nayo mwaka 1998.
  3. kipoma

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota spacio na Toyota raum nichukue gari gani hapo?

    Msaada wataalamu
  4. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Je, ni jinsi gani naweza kuaccess internet bila kununua vocha au kutumia wifi?

    Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia Vocha au wi fi.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani mbadala na duka?

    Mim ni mfabiashara ya duka la rejareja naomba msaada wenu maduka yamekua mengi miaka miwili naishia kupata pango pekee hivyo naombeni msaada wenu nyinyi wataalam wa bashara mnisaidie nifanye biashara gani tofauti naduka ili initoe nilipo na kupiga hatua zaidi ASANTENI SAANA.
  6. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia unapoibiwa simu?

    Tufahamishane hapa mambo ya kuzingatia pale unapoibiwa simu. Ikumbukwe hakuna mtu yeyote anayejiandaa kuibiwa. Wizi hutokea pasipo hata kujiandaa. Wengi wetu huhosi kuchanganyikiwa. Sasa ni nini cha kufanya unapoibiwa simu? Wengine husema katoe kwanza report polisi. Wengine husema block line...
  8. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania maombolezo kwa maandamano ni utamaduni kutoka kabila gani hapa Tanzania?

    Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...?? Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO.... hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani?? #KATAA WAHUNI
  11. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania Ni kauli gani aliisema ukajua kabisa hakupendi?

    Mimi nilimuuliza kama ananipenda kweli akaniambia yeye hana chuki na mtu.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu katuita Watanzania Wakosoaji (Critics) kuwa ni 'Makhulukutabu', je, ina maana gani?

    Arovera, mrangi, Bila bila, King Kong III, SAGAI GALGANO kuna Mtu kawaiteni huko 'Makhulukutabu' mmekubali Wakuu?
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode III): Unatumia Application au Software gani kwa Editing?

    Baada ya kuona Episode I: Kuchagua Camera, Episode II: Kuset light, sasa simply nikukumbushe Kufanya Editing. Edit ni process ndefu, na inachukua muda kujifunza. Ila hainamaana uogope, kikubwa keep on trying kila siku kuimprove quality ya video na audio yako. Software na Apps ambazo unaweza...
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF hafahamu kama Simba ilicheza na ilicheza wapi na kombe gani

    Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Komwe ni nini na lina uhusiano gani na wanawake?

    Komwe ni nini? Lina/ina uhusiano gani na wanawake? Kwa nini Kila linapozungumziwa komwe huwa linahusianishwa na wanawake? Linavutia au halivutii kwa wenye nalo?
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

    Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ni ajira gani ambazo wanaume wanalipwa zaidi ya wanawake?

    Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
  19. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Hapa Myahudi katumia teknolojia gani kwenye hili shambulio?

    Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu! Kifaa hiki huitwa pager! Nauliza walitumia mbinu ipi mpaka kiweze kulipuka na kuleta madhara kwenye ardhi ya nchi nyingine...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

    Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu. Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
Back
Top Bottom