Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini.
Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania".
Ningependa kujua hii "Life Tanzania" ni nini na uhusiano wake na TTCL.
Nimeambatanisha kielelezo.
Muachie mark awe anaikumbuka.
Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao.
Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
Wahindi ni waongo
Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
Imani yangu, inaniruhusu kuwa na mke mmoja tu. Lakini kutokana na uumbaji wa Mungu, nimejikuta kutamani tamani sana wanawake wazuri wazuri ninaokutana nao huko duniani.
Hii imepelekea kuwa na watoto hapa na pale, ingawa sijutii kuwa na watoto 15+, kwa sababu najua hawa watakuwa faraja pale...
Habari Wadau
Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi.
Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla.
Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki.
Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
Wataalamu wa Photograph reading and interpretation
Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe
Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma?
Ooh...
Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu?
1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma
2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency
3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja
4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto
5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi...
Eyce
Marcostilone
life255
Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni.
Na ili ufike hali hii inabidi utoe kafara ya mambo lukuki maishani mwako especially tabia ulizoea hadi...
Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ?
Montevideo Convention ya...
Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake.
Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.