Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ?
Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu.
Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio.
Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
SERIKALI INA MPANGO GANI WA KUMSAIDIA MKULIMA WA MAHINDI?
Tanzania kwa sasa ina uzalishaji mkubwa wa mahindi, lakini NFRA imetangaza kununua mahindi kwa Sh 450 kwa kilo, wakati mwaka jana (2025) bei ilifika karibu Sh 700 kwa kilo.
Wakati huo huo, gharama za uzalishaji zimekuwa zikiongezeka...
Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani
Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona
Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela."
Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔
Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
Habari za siku nyingi wakubwa wangu wa kazi! Nimepita pita kwa wanawake wauza bar na karibu wote niliowapitia huwa nawakuta wamevaa shanga kiunoni. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuvaa shanga na kazi wanayoifanya?
Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo?
Nina mdogo wangu kachaguliwa
1.IAA kozi ya Accountancy in IT
2. Transport and Logistics NIT
3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE.
Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri...
Humu kuna wahenga wa JF katika majukwaa mbali mbali yani kila uzi wachangiaji ni wao na kazi yao kubwa ni kuji-update kwa kubadili Id's lakini wapo humu JF toka inaitwa jambo forum huko
Hao ndio huifanya jamii forum kuwa forum iliyochangamka hasa majukwaa ya siasa, mahusiano, michezo, chitchat...
JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?
UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.
Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali ambayo nimekuwa nikiiona kwa takribani mwaka mzima.
Nilijaribu kufuatilia na kutaka kujua ni nani...
Anonymous
Thread
biashara
complex
fremu
fremu za biashara
gani
kmc
kmc complex
kukamilika
mwaka
mzima
tatizo
List of Professions
Doctor
Nurse
Pharmacist
Dentist
Teacher
Professor
Lawyer
Accountant
Engineer
Architect
Software developer
Data scientist
Graphic designer
Journalist
Writer
Photographer
Pilot
Air traffic controller
Police officer
Firefighter
Soldier
Electrician
Plumber
Carpenter
Mechanic...
JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM?
Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi.
Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?.
Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino.
min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe.
adriz de...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.