Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu,
lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu.
Mathalani,
Ikiwa ni Rais, yeye...
Sheria nyingi tunazofuata nchini Kenya hazitokei tu kama uamuzi wa viongozi. Katiba ya Kenya inaweka utaratibu maalum wa kutunga sheria, huku Bunge na wananchi wakiwa na nafasi muhimu katika mchakato huo.
Mchakato huanza wakati Mswada (Bill) unapowasilishwa Bungeni. Mswada unaweza kuanzishwa na...
kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano.
Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
Habari za leo watu wa humu.
Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu.
Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani?
Au nikachape za nje?
Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango
1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k
2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara
3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k
4.Mama ntilie uliyeajiri watu...
Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi).
Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao.
Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
Defilement ni kosa la kufanya tendo linalosababisha penetration na mtoto. Chini ya Section 8 ya Sexual Offences Act, sheria ya Kenya inaweka adhabu kulingana na umri wa mtoto wakati kosa lilipotendeka.
Mtoto mwenye miaka 11 au chini:
Mtu anayepatikana na hatia ya defilement anahukumiwa kifungo...
Mirror 🪞
Hello Great thinkers 👋
Kwanza naomba niweke sawa hapa
Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ?
Sielewi hapendezwi au lah(?)
Akauliza 👇
Huna kazi?: me nina kazi ✔️
Unalipwa?: Silipwi ❌️
NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠
Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa...
saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi
1. Saikolojia
Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu.
Mfano: mtu akiamini anaweza kufanikiwa, anaweza kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Akijiaminisha kuwa hawezi...
Wakuu,
Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦♂️
Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile.
Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana...
Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi mtandaoni ndio hali inakuwa ngumu.
Mawasiliano pia inakuwa changamoto kwa yale yanaohitaji mtandao moja...
Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe.
Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ?
Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
Je,
watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa?
Na je,
wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.