comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,242
- 16,531
Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa.
Paja lake tuu wanauza 15,000
Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1
Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno.
Hii ni mbegu aina gan ya kuku?
Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga