Sijui hata ni la lugha gani hili neno makebo
Neno makebo haliko katika lugha yoyote duniani au mbinguniTusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
Nimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁Neno makebo haliko katika lugha yoyote duniani au mbinguni
Hata hivyo kws DRC, Congo kuna maneno ya kilingala kama: Makembo na Makambo yakimaanisha ndizi na matatizo, respectively.
Kwa Africa ya kusini kuna neno: MAKEBA— Likimaanisha: mwenye hadhi kubwa. Kmf : Miriamu MAKEBA.
mi nilidhani ni neno jipya mbadala la kupunguza ukali wa neno matako kama ilivyo kwa mbususu/mbunye kufunika neno ****View attachment 3626134
Napenda warembo wenye makebo makubwa
halafu ni chawa huyo makeboNi ID ya mtu hapa JF
Ni lugha ya 'kijamiiforums' na haina tofauti na lugha ya ChugaTusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
Nimemuuliza AI na haya ndio majibu yake
Muulize pia kuhusu jaginaNimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁
View attachment 3626135
secretarybird
The Worst
BEZO JR
M O N S T E R
LOTH HEMA
loose Nut
Binti wa zamani uwanja ni wako, neno hili nimeanza kulisikia kwakoTusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
😂😂😂 AI hakopeshiNimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁
View attachment 3626135
secretarybird
The Worst
BEZO JR
M O N S T E R
LOTH HEMA
loose Nut
Haya sasa, mwenye kubisha na abishe 😎Nimemuuliza AI na haya ndio majibu yake😁😁
View attachment 3626135
secretarybird
The Worst
BEZO JR
M O N S T E R
LOTH HEMA
loose Nut