Ni uongo gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli?

Silent Echo

Member
Joined
May 28, 2026
Posts
26
Reaction score
69
Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.

Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?

Shiriki mawazo yako kwa na kwa mifano ikiwezekana.
Let’s go 👇👇
 
Kuwa Samuya ni binadamu wa kawaida. Na kumbe ni kahaba wa ibilisi. Mke wa ibilisi
 
Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.

Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?

Shiriki mawazo yako kwa na kwa mifano ikiwezekana.
Let’s go 👇👇
Sisiemu itawaletea maendeleo wananchi.
 
Tulivo kua wadogo tulikua tunaambiwa kuwa watoto Wana letwa na wazungu kwenye ndege wakifika bongo wanalusha ma box chino ndo unajidakia mototo baada ya kua ndo tukajua ni uongo
 
Ccm ni mbaya chadema ni wazuri, ila ukweli ni kwamba watanzania wengi ni washenzi na wamelelewa malezi ya kipumbavu, wasio na haya, hawa uzalendo wa adabu, wasiofaa kuwa viongozi. Sio ishu ya vyama wala katiba.
 
Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu.

Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti?

Shiriki mawazo yako kwa na kwa mifano ikiwezekana.
Let’s go 👇👇
Kikubwa kabisa hapa ni uwepo wa Mungu.

Mpaka leo hakuna aliyeweza kuthibitisha uwepo wa Mungu lakini watu wanaaminishana kwa kukariri tu kuwa Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom