Movie gani ya kibongo hata uirudie mara nyingi huwezi ikinai.

Hakuna bongo movie ya kurudia rudia, sema tu huna shughuli maalum. We umeona wapi kwenye moviejini anavua viatu kabla ya kuingia ndani, halafu unasema huchoki
Kuna wakati bongo movie wanatengeneza movie nzuri saana mpaka unataman uiangalie mara kwa mara

Kwa mfano mimi huwa napenda movie za tiny white&ringo(kamanda mstaafu,n.k) huwa siwachoki kuwaangalia.

Je movie gani ya kibongo kwako ilikuwa ni best hata ukiirudia huwezi ikinai.
 
Ya ambaruti
 
Wabongo tunajitahidi kwa kweli mwaka ujao tutatoa movie/series Netflix

Yawe Yawe
 
Back
Top Bottom