gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
  2. JamiiForums Tanzania Ni movie gani ambayo ulishawahi kuiangalia halafu baadaye ukajuta kwanini umeiangalia?

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada husika,nauliza hivi ni movie gani ulishawahi kuiangalia lakini baada ya kuisha ukajuta kwanini umeingalia kutokana na mambo ambayo umeyaona humo yanaweza kua mauaji,usaliti,uchawi n.k. Mimi binafsi ni mpenzi wa kuangalia filamu ile sana na nimetazama nyingi sana...
  3. JamiiForums Tanzania Waliosaidia viongozi wastaafu kudukuliwa walipata faida gani?

    Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye sasa anaitwa mwendazake. Wako waliojitokeza kuomba radhi, huku wengine wakitimuliwa kwenye Chama...
  4. JamiiForums Tanzania Ni muda gani sahihi wa kufanya maamuzi magumu?

    Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana. Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka. Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Habarini ndugu zangu, Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo. Kuna mtu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki kutoa video za kubuhusiana zina faida gani?

    Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini? Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumshikirikisha Rais Samia hoja ya Katiba mpya, tumhoji sababu za mchakato wa awali kufia mikononi mwake na Mzee Samuel Sitta

    Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu ya kikao kumfikishia ujumbe Mhe. Rais kuhusu katiba. Yeye anafahamu mwanzo mwisho wa mchakato...
  9. JamiiForums Tanzania Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

    Habari za leo wakuu, Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu. Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani? Pia nahitaji kujua aina za cadet (kadet) zinauzwa Tanzania kwa sana. Kadet za kuvutika (elastic) na zile ambazo sio za kuvutika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars vs Malawi: Mdau wa Soka una maoni gani kwa timu yetu?

    Maingizo mapya, Poulsen anatuonyesha Vijana wanaweza kufanya mambo mazuri. Wewe kama mdau una maoni gani?
  11. JamiiForums Tanzania Ninunue desktop computer yenye specifications gani ili baadae ni upgrade mwenyewe?

    Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies. Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti. UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza graphics hususani video editing na design mbalimbali kwa kutumia programs za Photoshop...
  12. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani ambayo huwezi kuambiwa karibu tena?

    Nidesturi ya sehemu nyingi kuambiwa "KARIBU TENA" baada yakupatiwa huduma fulani lakini maneo haya kamwe huwezi kuambiwa karibu tena nakama utaambiwa hivyo basi utahisi unatakiwa NUKSI ama UCHURO baadhi yamaeneo hayo ni: (1):-MORTUARY (2):-KWAMUUZA MAJENEZA (3):-GEREZANI Ongeza na wewe sehemu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nani anajua Taifa linapita nyakati gani kwa sasa?

    Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

    Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi? Nawasilisha
  15. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: wale wahudumu bungeni wana Elimu Kiasi gani?

    Habari za humu Wadau!? Kama mada inavyosema ni kuwa wale wahudumu bungeni wanapenda kuvaa sana vikoti mara leo nyekundu, mara siku nyingine bluu naomba kuuliza wana elimu kiasi gani? Form four au ni mpaka chuo, Na je ni kusomea kuwa mhudumu wa bunge au ni connection zako, naomba kujua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani Simba kutangaza hadharani mambo ya ndani ya Jonas Mkude?

    Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana! Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi! Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever)...
  17. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

    Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika? Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
  18. JamiiForums Tanzania Fedha ya matumizi ya kawaida kuwa kubwa kuliko ya matumizi ya maendeleo ina maana gani?

    BAJETI ina matumizi mengi ya kawaida kuliko Matumizi ya maendeleo ya nchi? Hivyo kweli tutaendelea nchi yetu kiuchumi? Bajeti aliyotoa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Mwigulu ili ipitishwe na Wabunge ni bajeti mbaya haifai kupitishwa Wabunge. Tunamuomba Waziri wa Fedha na Mipango Dkt...
  19. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaipata kwa fundi wako wa nguo?

    Salam kwenu wapendwa. Karibu sana kwenye page yetu ya Zoe Closet Tz, kwa kweli hili swali huwa najiuliza mara zote na sijawahi pata jibu, mafundi wa nguo shida inakuwaga nini? Ofisi yetu inadeal na nguo za kike za kushona na za kawaida, na tunaelewa kushona nguo ni kazi yenye challenge kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Umoja wa Vijana wa CCM

    Miaka ya huko nyuma Umoja huu wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ulisifika sana kwa kuandaa viongozi bora , wenye weledi na uongozi, wenye maarifa, uzalendo na nchi yao, wachapa kazi na wenye misingi ya haki, utu na maadili ya kutosha mfano wa ni pamoja na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…