Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,204
- 12,698
Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?