gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni rangi gani nzuri ya kupaka kati ya hizi?

    Wadau kwemaa! Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako Coral Plastcon Billion Binafsi hi billion sioni Kama no nzuri milipakaa ktk Fisher body aiseee hata miezi Saba haina Lin ishaanza kubabuka. Wadau naomba...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu makundi ya tabia za wanadamu

    Hello.. Lately I’ve been writing random topics centered on personality traits, this Topic will be serving as a sequel of those Topic. Will focus on other perspective of personalities Personalities ni nini? Kwanza kabisa hakuna definition maalumu ya personality hivyo basi ma Guru wa saikolojia...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

    Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni. Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...
  5. JamiiForums Tanzania Sura yako inafanana na mnyama gani?

    Niaje wadau wa JF Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka anamaanisha ni kwa wale wenye sura za duara. Nikamuhoji mbona kuna jamaa falani ana kimdomo kama cha samaki...
  6. JamiiForums Tanzania Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

    Rejea: Kichwa cha habali swali hapo juu. Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule. Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Ukisikia komando unafikiri ni mwanajeshi wa namna gani!?

    Habari wanajamii. Nimeona ni shiriki pamoja nanyi kuhusu maana halisi ya neno komando (Commando) na namna linavyotumika jeshini.. Neno komando lilitumika na utawala wa kiholanzi (dutch cape colony) katika nchi ambayo sasa huitwa Afrika ya Kusini. Kulianzishwa vikundi vya kaburu (boers) ambavyo...
  8. JamiiForums Tanzania Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

    Nakumbuka mwaka jana 2020 , mwanzoni Nlikuwa nmeenda kwenye project moja songea sasa wakati narudi sister akinipa kazi nirudi na beki tatu mmoja ambaye tayari sister alishamalizana na wazazi wake ilikuwa ni mimi tu kumchukua na kumfikisha mahali husika (DSM) Sasa kufika Njombe pale saa 4...
  9. JamiiForums Tanzania Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu DANIELI 7 Wanyama wanne wakubwa 1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
  10. JamiiForums Tanzania Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako?

    Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo. KWA WATUMIAJI WA MIFUMO 1. Umetumia mfumo gani 2021? 2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021? 3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
  11. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

    Ni mwisho wa mwaka. Kama kawaida tushirikishane vitabu tulivyosoma mwaka huu. Inasaidia kujua vitabu vizuri na kushirikishana maarifa. Mi nimesoma vitabu vifuatavyo, baadhi vilipendekezwa na members humu JF. 1. Bad Samaritans. Kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo mataifa tajiri yanavyoshauri...
  12. JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Je ni kitu gani ambacho familia au wazazi wako hawajui kukuhusu

    Hi guys, Mambo vipi? Mada inajieleza. From other social network. Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha Twende kazi na wengine.
  14. JamiiForums Tanzania Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

    Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tufanye gwajima anavuliwa ubunge, je ni nani wa chama gani unadhani atamrithi!!?

    Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa kawe avuliwa ubunge wake na kutokana pia na historia ya kisiasa ya jimbo la kawe unadhani ni chama gani...
  16. JamiiForums Tanzania Mkali gani unamkubali

    Wapenda masebene Bill Clinton toka Congo Huyu jamaa alikua vizuri sana. Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana) Alipoondoka Wenge kapotea. Fille Nyafu kapotea. Soleir Wanga kapotea Sabath Obrigado huyu bingwa kapotea Cele skram kama jina lake anascream tu(simkubali) Kuna kina chameleoni rapper...
  17. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

    1. Goodone 2. Goodwill 3. Twyfod
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Twitter wajuaji wa kila kitu, wanafanya kazi muda gani?

    Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?. Wanapenda maoni yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…