gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Hii kauli ya mke wangu ina maana gani?

    Hello watanzania wenzangu! Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%. Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi ingawa sio wale wa kunywa hadi kubebwa,na nakunywa bia tu sio hizi double kick. So last weekend wife...
  2. Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

    Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata...
  3. Dawa gani nikitumia sitakiwi kutumia kileo

    Nawasalimu wanajamvi kama heading inavosema nikitumia dawa zenye content gani sitakiwi kabisa kupiga pombe? Maana kwenye muvi sometimes tunaona wazungu wanakunywa baadhi ya dawa wanasukumia la pombe tena pombe kali (Najua wanaigiza) Tukija kwenye uhalisia Nyie wataalamu mliotumia muda wenu...
  4. Ni meseji gani unayotumiwa kwenye simu ila hupendi?

    Habari wakuu, Binafsi kila nikipokea muamala, muda si mrefu unaingia ujumbe wa mtandao husika wa kunitaka nicheze kamari. utaona ghafla '' Ndugu mwenye namba 0713 xxxxxx, ushaandaliwa TZS 800,000,000 jaribu leo. Na jumbe nyingi mfano wa hizi. Je, ni ujumbe gani hauupendi kabisa utumiwe kwenye...
  5. Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
  6. R

    "Timorous" Judges vs Bold Spirit Judges: Majaji wetu wanaangukia kundi gani?

    Miaka ya nyuma taifa hili lilishuhudia majaji ambao walijitoa mhanga kutoa haki kadri ya sheria. Walitoa haki bila upendeleo, chuki wala kuogopa mamlaka zilizowazunguka. Walijulikana kama Bold spirits Judges. Si wengi ingawa si hawa peke yao: Justice James Mwalusanya, Justice Mwesiumo, Justice...
  7. N

    Siasa gani hizi! Hofu yote ya nini hii?

    Mbona kama ni wazi kabisa wanaCHADEMA wamekuwa subject wa manyanyaso nchi hii? Tatizo ni nini? Hawa wanaCHADEMA wana ubaya gani? Mbona mie mwenyewe wanangu ni wanaCHADEMA na sigombani nao pamoja na UCCM wangu? Tatizo liko wapi? Mbona tunajitengenezea mazingira mabaya hivi? Kwa nini inakuwa...
  8. Kuna ujumbe gani kwenye utopia drama series?

    Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa) Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni" Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo; na pia "goyim". Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia, inayoitwa "Utopia...
  9. D

    Ni kiwango gani che pesa nahitajika kuwa nazo ili niweze kufungua Pharmacy hapa Dar?

    Nakusalimuni wakuu. Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam. Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
  10. Kuna hukumu gani endapo mwanafunzi akimpa mwalimu mimba?

    Ikitokea mwalimu mwanamke akabeba mimba ya mwanafunzi kisheria nani mkosa na ipi hukumu yake?
  11. Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Tujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!
  12. Title gani ya kitabu, novel au hadithi linayokuvutia sana?

    Habari za wikiendi.. Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda. Mimi napenda sana Why men love bitches. Manipulated man. Tutarudi na roho zetu. Tai kwenye mzoga. Zubaa uzikwe. Ongezea na zako zingine
  13. B

    Sufi/sufu inapatikana kwa wingi mkoa gani?

    Kuna Rafiki yangu flan amenipigia simu kutoka Botswana anahitaji Sufi au sufu lile zao linalofanana na pamba. Kiufupi ameniambia anahitaji tone 60 kwa awamu hii ya kwanza then awamu ya pili atahitaji tone 140 december mwaka huu. Tone 1 anainunua kwa Tshs 600,000 na haijalishi upo mkoa gani...
  14. Tanesco: Ni Umbali Gani Mtu Anaruhusiwa Kujenga Nyumba Kutoka Ilipo Nguzo ya Umeme wa Grid ya Taifa?

    Naiona hiyo nyumba inayopauliwa kuwa hatarini kutokana na umbali toka nguzo ya umeme kuwa mdogo sana
  15. Inapotokea umemzidi umri mama mkwe unampa salamu gani

    Inapotokea umemzidi umri mwenza na mama yake pia unampa salamu gani?
  16. Technology gani inatumika kukokotoa ball possesion?

    wanakadiria au wanahesabu manually au kuna program ya kompyuta inayohesabu automatically au ni aje yaani
  17. Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

    Wadau, Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com Asante. ==== Police General Orders (PGO) ni nini? Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa...
  18. Madhara Gani mjamzito huyapata akitoka na mwanaume ambaye sie aliyemtia mimba

    mambo vepe huenda hiii mada isha zungumza au bado ingawa nimejaribu kufatilia humu sijafanikiwa kama nilivyo anza pale kwenye title ni madhara gani mwanamke mjamzito anaya pata endapo kama ata date na mwanaume si mwenye ujauzito ule Ahsante
  19. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  20. Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

    Wajumbe mpoo.... Is Mr. Liverpool onces again na ileile kauli mbiu yake MSIOE MSIOE MSIOE ...!!! Twende kwenye mada; 1. 2007 Nilianza kufanya Kazi za ajira 2007 baada tu ya kumaliza form four niliajiriwa kama karani ofisi fulani Dar. Wakati huo nikiwa mdogo (18Yrs) nilikutana na wakubwaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…