Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,254
Wadau,
Mwenye softcopy ya mwongozo wa utendaji kazi katika jeshi la polisi (Police General Order) naomba anisaidie kuiweka hapa au anitumie kwenye email theweeknd9911@gmail.com
Asante.
====
Police General Orders (PGO) ni nini?
Ni kanuni za mwongozo wa utendaji kazi wa Jeshi na Polisi. Ofisa yeyote wa polisi anapotekeleza majukumu yake, mfano kumkamata mtuhumiwa, lazima azingatie PGO na sheria nyingine za nchi.
Jeshi la Polisi ni chombo kilichoanzishwa kwa mujibu wa Katiba kusimamia usalama wa raia na mali zao na katika utendaji wake linaongozwa na sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali. Aidha, Jeshi la Polisi lina Mwongozo wa Jumla wa Utendaji Kazi wa Jeshi la Polisi (Police General Orders) ambazo zimetafsiri na kutoa mwongozo wa utekelezaji wa sheria zote zinazoongoza utendaji wake.
Kusoma taratibu za kudumu za jeshi la Polisi, fungua kiambatanisho hapa chini au Bonyeza HAPA au HAPA