gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

    Wakuu,hamjambo? Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
  2. Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

    Ciao.. Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi? 1.binafsi naona kawaida 2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume 3. Binafsi sipendi mawigi 4. Hii kwangu ni ajabu 5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi...
  3. Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  4. Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana. Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje? Wataalam...
  5. Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  6. Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
  7. Ni wana JF gani kutokana na harakati zao humu wanatiki vielelezo vifuatavyo?

    1: PLAY BOY 2: MTU WA SYSTEM 3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL) 4: MPENDA BATA 5: DADA WA MJINI 6: KAUKA NIKUVAE 7: NGUMI NJE NJE 8: PESA MAKARATASI 9: MZEE/MAMAA WA CHAI 10: CONFUSED
  8. C

    Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  9. Kulikua na haja gani ya kuiita INEC wakati inaitegemea NIDA?

    Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba. Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya...
  10. Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ? NIDA ijitegemee INEC ijitegemee Banki ijitegemee NECTA ijitegemee RITA ijitegemee TRA ijitegemee TUCTA ijitegemee Utumishi Ijitegemee Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima. Leo unatumia Google play store kusajili Facebook...
  11. Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  12. Utabiri wa huyu Mchungaji umeniogopesha. Ni nani huyu?

    Wakuu, Huyu Mchungaji ni nani. Hapa wamesema ametokea Zimbabwe maana huu utabiri wake umenishtua sana.
  13. Mwamba amekuta mafundi wanaiba cement hii ndio adhabu aliowapa

  14. Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Wakuu, hivi nyinyi imeshawakuta yaani unampiga mtu tafu kile kidogo kabisa ulichonacho yaan ndio akiba yako hio mtu anaitaka hio hio umsaidie unaingia unavunja kibubu unampa kwa moyo mmoja kabisa sababu ya kukamilisha kutenda matendo ya Huruma. Ila baada tu ya kumsaidia mtu huyo anaanza kukuona...
  15. Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

    1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
  16. B

    GE2025 Tunasubiri kuona leo mzima swichi atakuja na surprise gani, mtoto hatumwi dukani!

    Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake. Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za...
  17. M

    wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  18. Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera. Kuna mambo kadhaa k.v 1.Wewe ni mweusi, 2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu 3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda 4.Umeolewa? Utaolewa lini...
  19. Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas?

    Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas...ikawa kama huruma au services ambayo ipo kama mfumo wa utalii Yani something amazing Huenda kimewai kufanyika somewhere au kipya Nisaidieni kupata business idea ya hili wakui
  20. TAKUKURU inafanya kazi gani kama mambo yanafanywa hadharani hivi?

    Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…