gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Je, shughuli yako ulitumia bei gani?

    Assalamualaikum ndugu yangu. Natarajia kufunga ndoa ya kiislamu mwezi 5 inshallah wenye uzoefu gharama zake zipoje nipo dar es salaam pia kama unauza Michele jumla nikupe tenda. Je, shughuli yako ulitumia gharama bei gani?
  2. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Ni karaha gani au kero gani unakutana nayo wakati wa tendo la mapenzi?

    Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi? Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kumpata bikra Kanda ya Ziwa, sijui wana shida gani

    Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu kumpata bikra kanda ya ziwa hasa hasa akina mwanike wanyamwezi atleast ni rahisi na wanyaturu ni rahisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi cha sasa ni kitu gani cha kumwambia mtoto wako ukisikia kala kipigo cha kionezi ?

    Hapo zamani sheria ilikuwa moja tu, ukipigwa rudishia, usipomweza mfanyie hata ambush. Siku hizi utawashauri kitu gani hawa kina junior ?
  5. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri Gani kati ya shanga na mambo ya Kiganga?

    Habari wakuu? Tukiachana na hizi shanga wanazo vaa dada zetu mama zetu au mabinti zetu Sijui na Sina hakika kama ni ulembo tu au Kuna mambo mengine ya ziada nyuma za shanga hizo lakini sizi zungumzii hizo shanga hapana Nime shuhudia waganga wakienyeji wakiingia kwenye majumba ya watu wakitoa...
  6. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Shemeji yako akikutaka kimapenzi utachukua uamzi gani?

    Toeni ushauri, shemeji yako akikutaka kimapenzi utachukua uamzi gani?
  7. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Starehe gani ujawai kufanya ila unatamani kuifanya lakini unaigopa?

    Tuambiane starehe gani ujawai kuifanyaga ila unatamanigi kuifanya ila unaogopa.
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi wa TZA tuna Moral authority gani ya kujadili Epstein files ?

    Sisi ngozi nyeusi , unafiki ni asili yetu kabisa. Tunajadili kashfa za watu mashuhuri kuhusiana na unyanyasaji wa kingono wa watoto n.k. Wakati hapa bongo na sisi ni walewale tu . Wengi wetu huwa tuna tabia mbaya na chafu na huwa tunazifunika kwa gharama yoyote ile. Sio kwa raia wa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Hivi bungeni Tulia Ackson anakaa kiti gani? Anagonga Meza naye?

    Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa. Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza! Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Muhusiano ya ufuasi wa dini na maendeleo ya nchi

    Ni nchi gani duniani ambayo maendeleo yake yanahusishwa moja kwa Moja na ufuasi wa dini fulani? Nchi ambayo tunaweza kusema pasina shaka kuwa, kutokana na wao kufuata dini fulani ndiyo maana walipata maendeleo waliyonayo!
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

    Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Una maoni gani kuhusu staili ya kuendesha Bajaji mguu mmoja juu inayofanywa na madereva wa Chuga?

    Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea...
  14. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

    Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini. Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ameamua kuishi kama mkimbizi, anajificha amekataliwa. Urais una raha gani? Ajiuzulu asione aibu

    Ameamua kuishi kama mkimbizi anajificha ficha amekataliwa. Sasa urais una raha gani ? Asione aibu kujiuzulu, hizi spana anazopigwa ni balaa. Anapigwa spana nje ndani na kila mtu mpaka anajificha, akipita hapa JamiiForums anachanganyikiwa. Huwezi kuua watu vile halafu uwe sawa. Umejitakia mwenyewe.
  16. Poker

    JamiiForums Tanzania Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

    Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je? Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
  17. GISAMBO

    JamiiForums Tanzania Changu Changu chako chetu Muungano Gani huu

    Mmetutenga tena watu wa Bara haya mambo haya Nafasi zakwanza zili tangazwa Kwa wa Tanzania wote iweje Leo mtuweke Bench Nawakizingua huko lawama ni Kwa Tanzania nzima nachoka mimi
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu iko chini ya CCM ama Benki kuu?

    Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu? Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
  19. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  20. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?

    Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?
Back
Top Bottom