gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Twinawe

    JamiiForums Tanzania Chuo gani Dar es Salaam kinatoa Degree ya IT kwa masomo ya jioni?

    Habari ndugu zangu, Kichwa cha uzi kinajieleza. naomba kufahamishwa chuo kinachotoa degree ya IT kwa masomo ya jioni kwa vyuo vilivyopo hapa jijini Dar es Salaaam? Hoja yangu ni hiyo naomba kuwasilisha.
  2. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

    👇👇👇
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

    Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani. Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao. Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

    Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge. Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti? Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti...
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
  6. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki 2 unanishauri simu gani nzuri?

    Habari zenu, Naitaji smartphone ila bahati mbaya budget yangu ni ndogo. Naomba ushauri wataalam kwa budget yangu ya laki 2 nitafute simu gani dukani. Mimi brand kwangu sio ishu nayozingatia kikubwa ubora.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Unashauri njia gani sahihi kupita kati ya hizi tatu zenye kero?

    Mwendo ni mrefu na inatakiwa upite kila siku njia hiyo hiyo: kutoka Mji (A ) kwenda kula JIJI (B). Zingatia; (Hairuhusiwi kwenda kwa miguu, pikipiki wala bajaji) (Njia ya kwanza ni Lami yenye Foleni): Kutoka sehemu (A) kwenda (B) kuna barabara ya lami, lakini imejaa magari mengi na inafoleni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mwanasiasa gani kwa sasa mwenye mvuto na ushawishi zaidi kwa jamii ambaye anastahili kuwa alama ya siasa za Tanzania?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kila nchi kwa nyakati tofauti hujaaliwa kuwa na mwanasiasa au wanasiasa wenye kujaaliwa vipaji vikubwa vya uongozi kiasi cha kugeuka kua kichocheo na hamasa kubwa kwa wanasiasa wanaoibukia na hata wasio wanasiasa. Ndipo nikajiuliza tunao wanasiasa wa namna hiyo...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Movie Zone: katika sub-movies au movies ni actor/ actress/ Director gani ukigundua kahusika humo ndani lazima uitafute??

    Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua. Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni. Mchizi nilikuwa...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Huko Songea kuna maajabu gani mpaka Wasomali wakimbilie huko?

    Habari wanabodi! Katika taarifa ya habari ya leo wakati natazama hapa ITV kuna gari kubwa imepata ajari kule Handeni watu wa tatu wamefariki. Polisi wamefanikiwa kuwakamata wasomalia kama 15 waliokuwa wakisafiri wanaelekea Songea kwenye makaa ya mawe, sasa hapa ndio najiuliza huko Songea kuna...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baada ya cheti cha shule ya upili ulipata cheti gani?

    Mimi binafsi baada ya cheti cha form four nimeendelea kupata vyeti vya mandatory training.
  13. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zakuchukua kabla yakufungua clinic ya tiba asili

    Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au store ya dawa za tiba asili. Asanteni wapendwa.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yusufu hakukumbuka nyumbani; hii ina maana gani?

    YUSUFU HAKUKUMBUKA NYUMBANI, HII INAMAANA GANI? Kwa Mkono wa, Robert Heriel Moja ya mambo yanayonitafakarisha ni kuhusu kisa cha Nabii Yusufu katika Biblia. Kisa hiki Leo tutakiangazia katika pembe nyingine tofauti kabisa na vile tulivyozoea kufunzwa Makanisani na nyumba za Ibada. Muhtasari...
  15. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

    Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
  16. B

    JamiiForums Tanzania TFF wanatatizo gani jamani kwanini Simba haichezi katikati ya wiki kisa maandalizi?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ligi yetu. Ukiangalia Chelsea kacheza Jumamosi na Jana iumanne kacheza why Simba tunawekwa ubwete sana. Niwaambie viongozi wa Simba kama wanaona kukaa tu bila kucheza mechi kisa mashindano ya kimataifa tunashusha viwango vya wachezaji. Mimi ni...
  17. kookolikoo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga imetumia kanuni gani kuingilia geti la mashabiki?

    Hii timu inaendeshwa kwa imani za kishirikina sana, kama ndondo tu. Sasa unajiuliza hii ndio timu iliyosimamia kanuni mpaka ikagoma kuingiza timu dhidi ya Simba kikanuni. Uko wapi msimamo wa kuzingatia kanuni. Wachambuzi takataka nao wako kimya kuikemea hii timu ambayo ni kioo chakavu kwa timu...
  19. maroon7

    JamiiForums Tanzania Je, huduma ya LUKU ina shida gani?

    Tangu jana kununua umeme inazingua kwa mitandao ya simu nikajaribu kwa mobile banking ila leo ndio nikapata token. Ajabu token haiingii na sijajua ni mimi tu au wengi wanakumbana na hili tatizo maana sijaona tamko lolote toka Tanesco.
  20. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

    Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi. Kazipataje hizi pesa wakati yeye ni mwajiriwa wa serikali? Ni biashara gani ya wazi Sabaya anafanya tusaidiane? Eti mnaita huyo...
Back
Top Bottom