Mjombakaka, guruguru etc
MAMBO YA WALAWI 11
Vyakula halali na haramu
1. BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,
2. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi.
3. Kila mnyama mwenye kwato katika miguu...