You Tube kuniletea suggestions za nyimbo za dini ina maana gani?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,436
17,082
Mimi sio mtu wa dini, nimeshangaa leo na renew you tube premium membership yangu naletewa suggestions za nyimbo za dini wakati sijawahi kuzitafta kwenye huo mtandao hata siku moja.

Mbaya zaidi you tube wameniletea ngoma za zamani za kina malebo, kina kijitonyama choir nk za enzi zile naelekea kua young adult.

Anyway, nimezisikiliza chache kuwakumbuka my childhood friends niliokua nao ambao tulikua tunasikiliza hizo kwaya kwa redio cassette za mzee wao ambae alikua mchungaji.

Mimi pia nilikulia kwa mjomba wangu ambae ni mchungaji, mafundisho ya Sunday school nimefanya sana, vijana nk.

Kwa sasa sina imani ya uwepo wa mungu kwa sababu ni ukweli usiopingika kwamba Mungu hayupo, dini ni hadithi tu za uongo za kutunga.

Tumalizie na wimbo wa kwaya😂
 
Tumalizie na wimbo wa kwaya
Badilika tubu zambi zako
 
Sasa evil genius kuwa tu Genius evangelist kuna sadaka nyingi kwa mtaa twende tukazikusanye
 
Inawezekana uliifeed algorithm kwa kuziangalia, ama uliangalia content zinazokaribiana kiuhusiano na hizo gospel next time zikija hizo suggestion chagua option ya "not interested"
 
Yeah. Inawezekana kabisa.

Nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom