Habari za jumamosi ndugu zangu.
Nimekuja hapa kuomba msaada wa ugonjwa huu wa ngozi.
Uncle wangu ana hivi vipele mda sasa ila hakuwahi kusema miez miwili iliyopita alinionyesha..vipo kifuani haviumi wala haviwashi..viko kwa ndani na ni vigumu vigumu ukivishika.
Nilimpeleka Hospital wakampa dawa ya kunywa ila bado..pia walimpima damu (naambatanisha results zake)
Kwa wenye kujua dawa au mwenye wazo naomba msaada tafadhali .