gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, Miaka 100 ni muda mrefu kiasi gani?

    Habari JF, Baada ya uelekeo wa kubinafsishwa bandari yetu ya DSM, nimejaribu kuangalia kwa undani miaka 100 ni mingi kiasi gani. 1. Hivi unajua nchi tangu imepata uhuru na awamu zake sita zote hatujafikisha miaka 100? 2. Hivi unajua Baada ya Miaka 100 karibu binadamu wote tuliopo sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    NDOTO ZA UTAJIRI 1. 777 -Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7. 2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA. Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k 3. Kuokota pesa za sarafu za zamani. 4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa. 5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
  3. JamiiForums Tanzania Unamuamini rafiki yako kiasi gani?

    Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ?? 😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
  4. JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huu udongo wenye chuma (magnetic) una matumizi gani?

    Habari wakuu. Kuna huu udongo ambao ukipitisha sumaku unanasa. Je una matumizi yoyote viwandani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi Kinga za Makosa ya kijinai zina Faida gani Kwa Taifa?

    Moja ya vitu vinavyonishangaza katika nchi yangu mama Tanzania, ni ubunifu walionao viongozi wa serikali katika Kuhakikisha yale yanayo wahusu yanafanikiwa, au yanafanyika kadili wao wanavyopenda tena kupitia chombo muhimu kama bunge. Sijawasikia wakipeleka muswada wa kufanyia marekebisho...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wazee huyu ni nyoka aina gani?

    Eti huyu nyoka anaitwaje?
  10. JamiiForums Tanzania Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

    How many issues May you observe... Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    Habari zenu wakuu?? Natumaini mpo salama kabisa. Okay mimi siyo muanzisha mada humu mara kwa mara ila mara nyingi nimekuwa napenda sana kusoma tu mada, story hata visa mbalimbali viinavyolweta na baadhi ya wadau wenzetu na kama itatokea nikaguswa sanaa basi mara moja moja huwa natupia comment...
  12. JamiiForums Tanzania Umasikini wa watu wa Bukoba unapimwa kwa kutumia vigezo gani?

    Mimi nimezaliwa Bukoba Nimesoma Uganda Chuo Dsm Niseme tu hii Nchi hakuna Sehemu Unaweza sema Kuna watu wana unafuu wa Maisha Jibu ni Kwamba Bukoba wana umasikini wa Majumba lakini chakula kizuri as the same Dsm watu nyumba Nzuri lakini njaa ya watu kukosa chakula kawaida. Sana hasa ukitazama...
  13. JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

    Signed Out
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuwa je, kiwango cha mshahara ninachokipata kulingana na majukumu niliyonayo kama kinanitosha, ni baba wa mke mmoja na watoto watatu ambao kati yao wawili wameshaanza shule. Sasa kila nikipokea mshahara let say tar 01 ikifika tar 03 huwa sina kitu mfukoni...
  16. JamiiForums Tanzania Kina shida gani hiki kidole wataalamu na tutibu vipi?

    Hili tatizo linazidi kukua, ilianza kama. Mstari hivi pembeni linakula kucha ya mtoto.
  17. JamiiForums Tanzania Story gani ya uongo uliwahi kusikia kuhusu Baba wa Taifa?

    Mimi niliwahi kusikia aliamuru uwanja wa ndege wa KIA ujengwe pale ulipo ili kuzuia madini ya Tanzanite yasichimbwe kwakuwa bado hatukuwa tumeelimika kuhusu madini. Wewe ulisikia ipi?
  18. JamiiForums Tanzania Hii Tanzania una shida gani? Niko mbioni kubadilisha kuwa Raia wa canada

    WASAIDIZI WA RAIS WAJITATHIMINI HARAKA. Na Thadei Ole Mushi. Rais Samia anawezekana anaitakia hii nchi Mema sana ila wanaomzunguka na washauri wake haswa wa Uchumi wakamwangusha. BOT wameweka limit na masharti kibao kuhusu watu kutoa fedha za Kugeni kwenye Account zao. Tafsiri yake ni kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Habari. Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…