Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi.
Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka?
1. Waziri wa Fedha?
2. Waziri wa Biashara?
3. CG wa TRA?
4. Manager wa TRA Ilala?
Nani ataondoka?
Habari wadau.
Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.
Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.
Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina...
Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani.
Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu lakini ningependa kuwashirikisha na naomba msaada wenu juu ya tatizo langu.
Siku ya Jumapili nilianza...
Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana.
This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo.
Mimi...
Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka
Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend sana lakini mazungumzo mengi kule ni ya majonzi.
Uzi mwingine una-trend ila sijawahi kuulewa ni ule...
Ni wazi kwamba kifo kipo na kitatokea kwa kila mtu. Kwa asili, kifo sio jambo baya; ila jambo baya ni, namna kifo kinavyotokea na pia kushindwa kujua kwa uwazi nini kinaendelea baada ya mtu kifo.
Tunapata uchungu na huzuni mkubwa ndugu zetu wanapokufa si kwa sababu ya kifo chenyewe isipokuwa...
Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project...
Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza...
Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe
Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma...
Au tumbo linaamua tu kukuharibia...
hahahah
Tukiacha na mali ulizonazo, ni tabia gani ambazo unazo ungependa wanao warithi kutoka kwako?
Ni tabia gani ambayo unayo unaisi wanao wakiwa nayo itawasaidia sana kwenye maisha yao?
Mimi kwa upande wangu ningependa warithi, (UTU) hii kitu kwa upande wangu ninahisi ninayo sana vingine waachane...
Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine walifirisiwa kabisa ama moja kwa moja au kwa kuchukua pesa kwenye akaunti zao, mfano Nimrodi mkono...
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani?
Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani?
Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo.
Kwani homa hii inaambukizwajwe?
Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi?
Nawezaje kutambua ninazo dalili za gonjwa hilo? Nauliza pia ili nijue nawezaje kumpatia huduma yakwanza mtu mwenye gonjwa...
Mkuu pole kwa misiba hii iliyofutana.
Kuna hili la mfiwa kuzungushiwa utepe mwekundu akiwa kakaa mwenyewe, ni nini maana yake katika jamii iliyostaarabika?
Nini shida huko bondeni idadi kubwa ya misiba ya vijana wa kitanzania. Nipo kwenye group hili la mabaharia naona vifo ni vingi sana watu wanaripoti mara kwa mara sasa vijana wadogo sana.
Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho?
Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights.
Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana.
Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.