gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

    Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi? Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnataka nitumie lugha gani?

    Kila siku nawakumbusha kuwa jukumu letu ni kufanya kazi. Kupata pesa na kutumia sehemu ya pesa zetu kuwahonga warembo wetu wapendeze, wasiwe na stress na shida ndogo ndogo. Mwanamke ukimpa hela utampenda. Sasa kuna aina ya wanaume sijui wanakwama wapi, hebu ona huyu anavyo lalamika hapa...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Tukio gani kwenye soka huwezi kulisahau?

    Ni mchezo wa Fainali ya kombe la dunia, takribani watu bilioni 1 duniani wanafatilia mtanange huo. Dakika ya 3 ya nyongeza ndani ya dakika 120, ubao ukiwa unasomeka 3-3 kwa Ufaransa na Argentina. Ndani ya dakika 3 za nyongeza, zikiwa zimebaki sekunde 16 mtanange uishe ili waende penati, huku...
  4. NMB Tanzania

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  5. De Rama Msirikale

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    Habari wapambanaji, Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
  6. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako, Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio. Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo. Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ina lengo gani kwa kukashifu nchi nyingine kutoa silaha kwa Russia?

    Hivi karibuni, balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety aliiomba radhi serikali ya Afrika Kusini kwa kuishutumu nchi hiyo kuipatia silaha Russia. Kabla ya hapo, Marekani nayo pia ilidai kwamba China inaweza kutoa silaha kwa Russia. Lakini halisi ni kuwa si China wala Afrika Kusini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Written interview questions za utumishi

    Naomba msaada ni maswali gani ya usali ya utumishi ya written yanatoka kwenye kada ya mwandishi wa taarifa rasmi za bunge
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

    So far tunaelekea june kuugawa mwaka, mpaka sasa movie gani ya mwaka huu 2023 imekubamba? Mimi mpaka sasa kuna hii The covenant
  11. She Quoted you

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi gani nzuri ya kusomea Wizara ya Utalii/ Maliasili

    Hello jF, Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri. Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro. Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Majimbo una manufaa gani na madhara yake ni yapi?

    Samahani Mimi binafsi naamini hii idea ya chadema ni nzuri katika kukimbiza maendeleo ya Tanzania. Japo wanaccm ni kama wanaipinga Kwa nguvu sana . Embu naomba tujadiri Kwa kina faida na madhara aina hii ya utawala
  14. I

    JamiiForums Tanzania UTAWALA kimajimbo una faida/madhara gani. Tuchambue ili watu waelewe

    Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo. Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu. Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu. Please tujadili faida na madhara yake humu. NAWASILISHA.
  15. McCollum

    JamiiForums Tanzania Inabidi itumike akili gani kuwaelezea watanzania kwamba vita ya Ukraine na Russia sio ya kuishabikia?

    Habari kwa wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kwa watanzania wengi (nitasema wengi licha ya kwamba sijafanya utafiti ila naona kwa ninachokumbana nacho mtaani inawezekana wengi wana mawazo hayo hayo) wanaivalia njuga vita inayoendelea baina ya mataifa mawili ambayo kiasili...
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

    Story gani ya mtaani/kijiweni uliwahi kusikia kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa? Tushirikishe
  17. R

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe very attentive, nani alikuwa anahutubia na issue gani?

    ANGALIA PICHA
  18. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  19. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanalipwa mishahara ya kazi gani kwa uozo na rushwa zilizoelezwa kwa Waziri Mkuu?

    Mkurugenzi wa TAKUKURU na wafanyakazi walio chini yake wanalipwa fedha nyingi kutoka kwenye kodi za wananchi. Pamoja na malipo mazuri hakuna kazi yoyote ya msaada wanayotoa kwa serikali na jamii kwa ujumla. Kama wangekuwa active hizi taarifa za madhila ya wafanyabiashara wangekuwa wanazo na...
  20. system hacker

    JamiiForums Tanzania Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Kikao cha Kariakoo ki ukweli kimekuwa kikubwa sana tofauti na matarajio ya wengi. Je, kwa muelekeo wa Kikao nani ataondoka? 1. Waziri wa Fedha? 2. Waziri wa Biashara? 3. CG wa TRA? 4. Manager wa TRA Ilala? Nani ataondoka?
Back
Top Bottom