Jamani mikopo ya HESLB msg hii ina maana gani

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,415
74,072
Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS
Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
 
Hivyo wanaandikiwa karibia wote waliofanikisha process zote za kuomba bila makosa ,hatau inayofuata ni ugawaji wa Fedha kuna kupata na kukosa.
 
Msomi kabisaa kingereza chako chote kimefikia hapo ,"conglatulation" ndo nn ???Congratulations ndio neno sahihi ,mwisho nikimalizia sentensi hyo ni self explanatory kabisa
 
Msomi wa chuo kikuu kiingereza kima hicho ukielewi?
Take note, kijana aliyenijia neno congratulation limemsumbua sana. Nimemwambia kuwa hapo subiri uone kama utapata mkpo. akasema nimeshapongezwa.....nikasema NO, a ig NO. nikaamua kuuliza nipate tafsiri kama mahakama zinavyotafsiri sheria.................................................
 
Mtu kaomba mkopo, hakuna congratultion hapo kama hajapata mkopo. Neno hilo limetumiwa vibaya! Unmpongea kwa kujaza vizuri? nani anshindwa kujaza vizuri? si unaomba msaada unajaza vizuri! Ningelikuwa mimi nisingeliweka neno hilo......
 
mkuu uo ujumbe una maanisha maombi yako ya mkopo kwa hatua ya kwanza yapo vizuri hayana kasoro yeyote wala hayahitaji marekebisho yeyote. Ivyo subiri hatua inayofata ya allocation ambapo hapo unaweza ukapata kama ukikidhi vigezo vyao
 
Wengine ilikuja 'your application has been submitted' hiyo ya congratulation hatujaipata.....au imetumwa hvi karibuni kwenye simu?
 
Hiyo ni lugha ya kutokuwakatisha tamaa waombaji... Lolote linatokea aidha kupata au kukosa. Niliandikiwa hivyo na nikikosa mkopo.... Asubiri akiwa na yote mawili!.
 
Ivi kwa ss kuna umuhim wa kusoma kweli yaan chuo kikuu kabisaaaa me naona ka mtu anaenda kupoteza muda miaka mitatu n mingi mno kufanya mambo yako ya maisha yaan ukirud ndo unakuja kuanza moja bora utafute hela ushajenga hata banda lako then ndo ukasome ila ivi ivi tu dah hali n tete nawaonea huruma kuna dogo kajinyonga juzi kisa mtaani kisa kakaa miaka mitatu hana ajira
 
Msomi kabisaa kingereza chako chote kimefikia hapo ,"conglatulation" ndo nn ???Congratulations ndio neno sahihi ,mwisho nikimalizia sentensi hyo ni self explanatory kabisa
😃😃😃😃😃, ukimuuliza hapo, utasikia anaenda kupiga degree
 
Ivi kwa ss kuna umuhim wa kusoma kweli yaan chuo kikuu kabisaaaa me naona ka mtu anaenda kupoteza muda miaka mitatu n mingi mno kufanya mambo yako ya maisha yaan ukirud ndo unakuja kuanza moja bora utafute hela ushajenga hata banda lako then ndo ukasome ila ivi ivi tu dah hali n tete nawaonea huruma kuna dogo kajinyonga juzi kisa mtaani kisa kakaa miaka mitatu hana ajira
hapana mkuu.Kusoma kuna umuhimu sana
 
Mimi nashauri vijana wenzangu wasome wasikate tamaa Elimu haidanganyi itakuchelewesha tu lakini ipo siku itakulipa hatakama si kwa asilimia mia ila itakulipa
 
Ni vizuri kufanya biashara au harakati nyengine ambazo unaona zinakuingizia pesa lakini kama uwezekano wa kusoma upo usiache iyo nafasi soma na uitumie vizuri iyo nafasi.
 
Ivi kwa ss kuna umuhim wa kusoma kweli yaan chuo kikuu kabisaaaa me naona ka mtu anaenda kupoteza muda miaka mitatu n mingi mno kufanya mambo yako ya maisha yaan ukirud ndo unakuja kuanza moja bora utafute hela ushajenga hata banda lako then ndo ukasome ila ivi ivi tu dah hali n tete nawaonea huruma kuna dogo kajinyonga juzi kisa mtaani kisa kakaa miaka mitatu hana ajira
Hawapotezi muda, wanapata maarifa......labda kama sijaelewa maana yako ya kusema wanapoteza muda.
 
Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS
Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
Yan ww kuandika kiswahili shida,kuandika kingereza shida, kuelewa kingereza ndo kabsa hamna kitu shida tu,mzee shule ulosoma mlikua mnaongea kilugha mpk mitihani mnafanya kwa kilugha nn?!
 
Back
Top Bottom