gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

    Wakuu, Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil? Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kidonge gani humezwa kabla ya kutumia dozi ya typhoid?

    Kuna mtu alinieleza Ili dawa ya tayphoid ifanye kazi viziri Kuna kidonge kimoja unatumia kwanza ndipo uanze dose ndiyo dawa ifanye kazi sawa,naombeni kujuzwa kuhusu hili
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza andika wazo langu la kutengeneza application/system na nikapata ufadhili kutoka serikalini au kampuni binafsi

    Naom,ba kuuliza ni jinsi gani watu wanaandika mawazo yao na kufanikiwa kupata udhamini kutoka selikalini au makampuni binafsi na kufadhiliwa ili kuendeleza au kufanya yale m,awazo alioyawakilisha kwa mfano mimi naitaji kutafuta udhamini wa kutengeneza application au system ambayo inaweza kua...
  4. JamiiForums Tanzania Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

    Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa. Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote. Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

    Haya twende kazi - Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza. - Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua. - Mmekubaliana fresh...
  6. JamiiForums Tanzania Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa. Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani Raia anaweza kutumia Ndege ya Kijeshi kwa Shughuli binafsi ?

    Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaotumia windows 11, tupeni ushauri watumiaji wa windows 10, tuhamie huko au tubaki ?

    Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11. Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ? mipangilio...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua

    Habarini... Naomba kuuliza ni dawa gani ya kiasili ya kuchua kwa mtu aliyepata mpasuko (fracture)kwenye mbavu. Nawasilisha.
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni huduma ambazo Serikali ingetakiwa izitoe bure kabisa

    Hizi hapa ni huduma ambazo serikali ilitakiwa izitoe bureee kabisaa, Kuingiza umeme kwenye makazi na biashara, ukimuuliza kila mtu gharama alizotumia kuingiziwa umeme kila mtu atakupa ya kwake, Ikiwa gharama rasmi ya serikali inajulikana mfano 27000 lakini mtu anatumia 150000 inaenda kwa mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani hii ni Brand Gani?

    Nimeagiza mzigo wa raba online,huko mashariki ya mbali, . Box ndio limekuja na LOGO ya kushangaza👆, Japo raba iko Njema na haina hio LOGO 👆 ya ajabu. Sasa sijui hawa wachina wamefanya makusudi kuprinti hivi , Nisaidieni wajuba
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uwe ba roho mbaya kiasi gani, utaondoka tu duniani

    Ujumbe wa leo
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa mil 5-10 nifanye biashara gani mkoa wa TABORA

    Habari Za majukumu wanajamvu, Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda . Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya hapa mkoani kwa mtaji wa mil 5 hadi 10? Nitashukuru kwa ushauri. Asanteni
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  17. JamiiForums Tanzania Je, mzazi wako alishiriki kwa kiasi gani kuua ndoto zako?

    Je, Lilikuwa ni kosa lake au mfumo wa maisha ndio ulimfanya awe hivo?
  18. JamiiForums Tanzania Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
  19. JamiiForums Tanzania Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  20. JamiiForums Tanzania Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…