gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

    Salaaam!!! Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi?? naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
  2. JamiiForums Tanzania Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

    Habari wakuu sana. Hivi hapa kwetu huduma ya data recovery kitaalamu ikitokea mtu disk yake imeroga inapatikana wapi? Inagharimu kiasi gani huduma hiyo?
  4. JamiiForums Tanzania Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
  5. JamiiForums Tanzania Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

    Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana. Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata mtoto, mavuno mazuri n.k Kuna matukio tusiyopenda kuyasikia ni mwiba mkali maishani mwetu kwa wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

    Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni ndoto gani ya ajabu ambayo umewahi kuota?

    Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza? Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakufanya ukatae ndoa

    Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
  10. JamiiForums Tanzania Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka. Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote? ~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine? Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima...
  14. R

    JamiiForums Tanzania LATRA Tanga, RTO Tanga, nauli ya daladala ni kiasi gani kwa Tanga?

    Sasa daladala zinatoza Tsh 800. Zilipanda na kuwa Tsh 600, baada ya siku mbili wamepandisha mpaka Tsh 800. LATRA Tanga, bei elekezi ni ipi?
  15. JamiiForums Tanzania Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Hebu leo tushirikishane Kwanini wengi wanaona kwenda kupiga kura ni kupoteza Muda?
  17. JamiiForums Tanzania Je, nchi za wenzetu wanatumia vigezo gani kupata Waziri?

    Ameandika Martin Maranja Masese. Kiumbe ambaye CIVICS kidato cha nne alicheza na mswaki (F) anawezaje kuwa waziri wa kushughulika na masuala nyeti ya teknolojia, Habari na mawasiliano? Hatupo ‘siriazi’ kabisa wanetu. Paula Ingabire ni Waziri wa Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Ubunifu...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Je, Yesu Kristo alikaa tumboni kwa Mama yake kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Swali Kwa Ndugu zangu Je Yesu Kristo au Issa Bin Mariamu alikaa tumboni kwa Mamake Bi Mariamu kwa muda gani hasa kabla ya kuzaliwa? Je ni miezi 9 au 6 au 3 au 1 au siku 1? Naombeni majibu kwa mujibu wa maandiko rasmi na sio vinginevyo Lugha zisizo na staha...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto huu ni ukweli au mipasho Kwa jirani zako?

    Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
  20. JamiiForums Tanzania Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika. 1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha) 2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani"...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…