Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

Django doer

JF-Expert Member
Jun 30, 2023
732
2,018
Za sahizi binadamu wenzangu.

Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB.

Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za kawaida maana ni kubwa sana.

Natanguliza shukrani.
 
Nunua bundle lako acha uvivu, wizi, ubahili na utegemezi. Uanaume ni kujitegemea.
 
Back
Top Bottom