Brand gani ya Petrol Generator nzuri

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
Nataka kununua generator la 3.5 kva kwa ajili ya kuendeshea stationary, tanesco wamegeuka mwiba huku kijijini.

Ni brand gani yenye generator bora zinazotumia petrol, naomba kupata vidokezo juu ya bei zinacheza around ngapi.

Screenshot_20230909-195511.jpg
 
Ushauri wa bure:
Jitahidi sana ununue diesel engine generator utanishukuru baadae, model nenda dukani angalia warranty hasa mwaka mmoja inakuwa vizuri sana, pia hakikisha output terminal inakuwa na pin tatu (phase, neutral na earth)
 
Back
Top Bottom