gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vodacom ina shida gani?

    Au nayo wameshaibaka kama media? Mtu unapiga simu haiiti ukikata unaambiwa umetumia sekunde kadhaa, kwenye internet ndio hovyo kabisa.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Heche Aache Janja Janja . Ajibu Mpaka Sasa Amepokea Kiasi Gani Cha Pesa Kupitia Akaunti yake Binafsi na Zipo Wapi?

    Ndugu zangu Watanzania, Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake binafsi ameamua kubadili Gia Angani. Eti sasa anasema wale ambao wangetaka kumtumia Hela kupitia...
  3. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui ni nani hapa Tanzania akiongea kitu hadanganyi wacha nikufahamishe - ni DUDUBAYA

    Kama ulikua hujui ni MTU GANI HAPA TANZANIA AKIONGEA KITU HADANGANYI wacha nikufahamishe;- Mtu ambae akisema kitu haongopi ni DUDUBAYA, Huenda ukabisha kuhusu hiki ninacho kisema, Kwasababu watu wengi humchukulia DUDUBAYA kama mvuta bhangi na mtu wa hovyo, Lakini ukweli ni kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Je Dudu baya amewahi toa msaada Gani/ kumchangia mtu

    Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂 Je yeye amewahi toa msaada Gani Nb Dudu baya, yu bela wochi yua back😂😂
  5. JamiiForums Tanzania Ni uongo gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli?

    Tangu utotoni tunaambiwa mambo mengi ambayo tunayaamini bila kuyahoji. Kadri tunavyokua, tunagundua baadhi yake si ya kweli au hayafanyi kazi kwa kila mtu. Kwa maoni yako, ni imani au ushauri gani ambao jamii imeufanya uonekane kama ukweli, lakini uzoefu wako umeonyesha tofauti? Shiriki mawazo...
  6. JamiiForums Tanzania Haka kadude kaliwahi kukuachia historia gani ambayo hautakuja kuisahau maishani mwako?

    Weka mbali na watoto
  7. JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi neno makebo ni lugha gani?

    Tusaidiane maana hili neno limetrend sana humu
  9. JamiiForums Tanzania Hivi hawa jamaa walikuwa wanabinuka binuka kila mechi kwa ajili gani?

  10. JamiiForums Tanzania Hawajui hata hayo maridhiano ni kitu gani

    Serikali iliyojiweka madarakani baada ya vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu wizi wa kura, kuua raia na kumuapisha ndani ya kambi ya jeshi.... wamekuja na drama kabambe iitwayo TUNATAKA MARIDHIANO Yaani, wao wamechezea katiba na mifumo yote ya haki, wameibaka demokrasia mchana kweupe na kuipa...
  11. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya shinikizo yana faida gani?

    Swali ambalo Watanzania wengi wanapaswa kujiuliza ni hili: Maridhiano yanayoshinikizwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi yana faida gani ikiwa hayatajibu hoja za msingi kuhusu haki, uhuru wa kisiasa, utawala wa sheria na uaminifu wa mifumo ya uchaguzi? Maridhiano sio lengo lenyewe...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Natamani kufanya kazi yeyote ya part time ili niweze kuongeza kipato

    Salaam watalaam Kijana nimekuja kwenu kuomba msaada wa mawazo.. Nimeajiriwa sehem lakini sibanwi sana kazini kiasi kwamba nina muda mwingi wa ziada.. Natamani kufanya kazi yeyote ya part time ili niweze kuongeza kipato kwani hakinikidhi mahitaji Swali, je nifanye SHUGHURI ipi aambayo...
  13. JamiiForums Tanzania OSHA wanatoa cheti gani kwa mtu anayetaka kufanya kazi sehemu hatarishi kama mgodini

    Kwa mtu anayehitaji kufanya kazi eneo kama mgodi anahitaji nini, vyeti au matibabu yapi kutokea taasisi ya OSHA na gharama zake zikoje. Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

    Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa. Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo...
  15. JamiiForums Tanzania KERO TCRA mpo kwa ajili kitu gani maana huduma za mawasiliano ni makanjanja kiutendaji

    Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya kuwa huduma hizo wameshaweka ila ukichunguza kama wanabadilisha jina ila kifaa ni kile kile. Leo...
  16. JamiiForums Tanzania Wewe na mpenzi wako huwa mnapenda kutumia style gani?

    Sisi huwa tunatumia hiyo number 3,9 na 13.
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  18. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

    Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako? Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani? Mara nyingi husikia watu wakisema...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  20. JamiiForums Tanzania Ukifikisha miaka 80 utakuwa katika hali gani?

    Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…