gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  2. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana elimu gani?

    Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuku mwenye manyoya yaliyojigeuza nje ndani. Je, wanakazi Gani hasa huko ulimwenguni?

    Nimekuwa nao lakini ajabu kila mtu akiwaona anashangaa na wengi wananituhumu labda ninao kwa ajiri ya kazi flani za kishirikina ikizingatiwa na kwamba wakihitaji niwauzie siuzi maana mie ni kwa ajiri ya mapambo na kula tu nje na kuku wengine. Kwani Hawa kuku nilichongundua wanauzito sana. Pia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dully Sykes alikuwa mtu wa Misifa au aliitwa Misifa kama jina la ziada?

  6. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naskia Songwe wadau wanapoteza sehemu za Siri kwa kuguswa bega. Wadau wa Songwe Kuna ukweli gani?

    https://www.instagram.com/reel/DWo8mLfDFW8/?igsh=NzM3MmtpOGcxNmZk Katika pitapita zangu za online nimekutana na taarifa iliyorushwa Jana, wadau huko Songwe wanasema Kuna watu wanakugusa bega baada ya hapo sehemu zako za siri zinapotea. Wadau wanaamini wanajikinga kwa kuvàa rubber band na pin...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Prophet IPM anahubiri injili gani?

    Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka 1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi 2. Kupotosha uhalisia katika ndoa. Kwamba ndoa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini? Nmb imewezeshwa ila...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Posho ya mafuta ya wabunge ipo namna gani?

    Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi uume mkubwa unaanzia size gani?

    Kuna bibie nilikua namtafuna hapa,sasa usiku kucha alikua analalamika eti uume wangu ni mkubwa sana. Sasa naomba kuuliza ,uume mkubwa huwa unaanzia size gani
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani hapa Tanzania unaweza kumshauri kijana anayejitafuta akaishi na akipambana uwezekano wa kutoboa upo?

    Wakuu kama kijana tunapitia hali ngumu katika kuchagua jambo litakalotusaidia hapo baadae. je ni mkoa gani unaweza kumshauli kijana anayejitafuta kimaisha akaishi, ambapo akienda mkoa huo akipambana uwezekano wa kutoboa kimaisha upo?.ukitaja mkoa naomba utoe na sababu
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je una huruma kiasi gani ?

    Huyu panya ungemuua au ungemuhurumia kwaajili ya watoto wake ? Mimi binafsi ninamuacha ila tutakuja kupambana hapo baadae watoto wakishakua wakubwa, na watoto wakiwa wakubwa na kuanza usumbufu hapo ndipo nitaanza kudeal nao kwasababu sasa hivi hawajui chochote bado sababu nyingine ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Galilaya kwa Sasa ndio mji Gani?

    Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje? Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa...
  16. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuomba ruhusa kazini?

    wakuu mbinu gani unaweza tumia kuomba ruhusa kazini ukiwa unaenda kufanya usahili sehemu nyingine?
  17. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya...
  18. Hassan heyday

    JamiiForums Tanzania Occupational therapy jobs

    Hivi course ya occupational therapy Ina marketability kiasi gani kitaa
  19. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Ushauri gani UNAIPA nafsi yako, wakati huu?

    Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
Back
Top Bottom