Kurasa gani mtandaoni zimeku-block? Sababu ilikuwa nini?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,299
Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block;

1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa.

2. Martin Maranja Masese - huyu nae sababu ni kama za Malisa. Upuuzi mtupu.

3. Maria Sarungi - huyu naye ni kama hao wawili hapo juu.

4. Lemutuz - hii block nilikula wakati hayati akiwa hai. Sababu ilikuwa kupinga stori ya uongo aliyotoa kuhusu Amida Chartur mke wa Vital Kamerhe.

5. Mange Kimambi - Sababu ni kupinga udhalilishaji uliopitiliza anaoufanya.

6. Ex wangu - huyu hasira zake tu za kimapenzi zimesababisha aniblock kuanzia watsapp hadi kwingine kote.

Mimi sijutii chochote kwasababu maisha yanatakiwa yaendelee. Ila ninawasihi wafuasi wa CHADEMA kuacha tabia za ku-block wote wenye mawazo tofauti na wao. Hao mnaowablock ndo wapiga kura.

Mnaweza kudhani mmeblock mtu mmoja kumbe mmeblock watu wengi ambao wengine ni familia yake.

Mwisho wake ni chama chenu kula BLOCK kwenye sanduku la kura. Kama Martin na Malisa hawana uvumilivu wa kisiasa wafanye kazi zingine. Wawe wanapost memes.

Nampongeza sana Yericko Nyerere kwa uvumilivu wa kisiasa alio nao.
 
Maria Sarungi Tsehai twitter, huyu ni binti mwepesi sana kwa hoja, uki mchallenge kwa comment mbili tatu lazima aku block, hataki maoni mbadala na yake alafu anajifanya mwana demokrasia, demokrasioa ni pamoja na kukubaliana na utofauti wa mawazo na mitazamo
 
Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block;

1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa.

2. Martin Maranja Masese - huyu nae sababu ni kama za Malisa. Upuuzi mtupu.

3. Lemutuz - hii block nilikula wakati hayati akiwa hai. Sababu ilikuwa kupinga stori ya uongo aliyotoa kuhusu Amida Chartur mke wa Vital Kamerhe.

4. Mange Kimambi - Sababu ni kupinga udhalilishaji uliopitiliza anaoufanya.

5. Ex wangu - huyu hasira zake tu za kimapenzi zimesababisha aniblock kuanzia watsapp hadi kwingine kote.

Mimi sijutii chochote kwasababu maisha yanatakiwa yaendelee. Ila ninawasihi wafuasi wa CHADEMA kuacha tabia za ku-block wote wenye mawazo tofauti na wao. Hao mnaowablock ndo wapiga kura.

Mnaweza kudhani mmeblock mtu mmoja kumbe mmeblock watu wengi ambao wengine ni familia yake.

Mwisho wake ni chama chenu kula BLOCK kwenye sanduku la kura. Kama Martin na Malisa hawana uvumilivu wa kisiasa wafanye kazi zingine. Wawe wanapost memes.

Nampongeza sana Yericko Nyerere kwa uvumilivu wa kisiasa alio nao.
Lemutuz alinipiga block baada ya mim kurudia maneno ya kinafiki aliyoyatoa enz za JPM huku akiyakana kipindi cha "mama anaupiga mwingi"

Mwingine ni Veronica France, yeye hutangaza vifurushi fake vya Internet, nlituma pesa ili npate kifurushi , kilichofata ni kilio, baada ya mim kuelezea namna nlivomchukulia na alichokifanya akanlima block
 
Ila nyi machawa wa mama Kuna mda mnakera mnakua kama wafuasi wa manabii, yaani Kila kitu ni kusifia tu, Haina haja ya kubishana na mtu ambaye kichwa chake ameamua kwa hiyari yake kukitumia kama mfuniko wa shingo

Ni kumlima block tu hakuna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom