gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mamlaka gani zinawajibika kufanya marekebisho ya barabara za mitaani?

    Salaam Wadau, Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye magari. Kwa mtaa ninaoishi imekuwa busara tu ya wanakikiji kumwaga vifusi au kuweka mawe ili...
  2. R

    Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

    Salaam, Shalom!! Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI". Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE...
  3. Y

    Generator gani ni nzuri?

    Habari ndugu Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye 9000BTU hii sio lazima iwashwe. Karibun ndugu kwa ushauri
  4. Morogoro mchele kg 100 imefika bei gani? Nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom

    Wanangu wa Morogoro hivi kg 100 ya mchele imefika bei gani?, nataka nisafirishe mchele kutoka Moro to Dom
  5. Muda gani ni sahihi kumshambulia adui?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna asiye na adui. Na hakuna ambaye sio adui kwa mwingine. Yaani wewe unavyojiona hapo kuna mtu anakuona ni adui yake. Halikadhalika wapo unaowaona ni maadui. Unaweza kuwa na maadui kwa Wema wako. Kama vile unavyoweza kuwa na maadui kwa ubaya wako. Adui ni...
  6. Siku ya Redio Duniani: Unasikiliza Redio gani kila mara?

    Siku ya Redio, huadhimishwa Februari 13 ya kila mwaka kwa lengo la kwa lengo la kutambua mchango muhimu unaotokana na Redio katika kufikisha Taarifa kwa Jamii Mwaka 2011, nchi wanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ziliitangaza Februari 13 kuwa Siku ya...
  7. Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  8. Siasa ni kitu gani?

    Wakuu sana, Hiki kitu tunaita siasa. Mtu anafanya siasa. Huyu ni mwanasiasa, ni kitu gani? Siasa ni kitu gani?
  9. Majibu ya ChatGPT kuhusu madhara ya kubinafsisha bandari kwa DP World

    Uamuzi wa kubinafsisha bandari kwa kampuni kama DP World unaweza kuwa na athari kadhaa kwa nchi. Hapa kuna baadhi ya madhara ambayo yanaweza kutokea: Upotevu wa Udhibiti wa Kimkakati: Kubinafsisha bandari kwa kampuni kutoka nje kunaweza kusababisha upotevu wa udhibiti wa kimkakati wa nchi...
  10. Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

    Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
  11. Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Habari Wadau, Leo Februari 10, 2024 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania na Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowasa Soma: Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia Katika mwaka...
  12. S

    Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

    Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa. Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi. Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo. Jamaa kapita karibu na dubwi akapata...
  13. Wanawake wembamba mnashida gani?

    Wanawake wembamba mnashida ipi mna gubu,hasira mda wote usikerwe kidogo tu maneno na matusi, mnamajungu na umbea umeanza kwenu,.. mjiangalie sana badilikeni sio kila anaewatongoza anawapenda mnajiskia sana kwanza mkikata kona cha mwisho kuona ni mgongo... Achaneni gubu mpendwe nyau wakubwa..
  14. Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

    Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda. Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9 Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha...
  15. G

    Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  16. M

    Hizi Oral HIV test zina uhakika kiasi gani?

    Jamani hebu wataalamu niambieni. Maana mie ngoma ninayo miaka 20+ situmii ARV lakini nimepima zile oral mara tatu zote zinasoma negative. Sasa sijaelewa hii inakuwaje
  17. J

    Mjadala: Ubovu wa Barabara za Mtaani kwako: Je, viongozi wanawajibika?

    Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza? Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
  18. Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  19. G

    Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

    Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
  20. T

    Mungu alikua na maana gani kuagiza kwenye amri ya 6 Usiue kisha akaagiza wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine?

    Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue. Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao. Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…