Generator gani ni nzuri?

young j

Member
Dec 22, 2012
58
16
Habari ndugu
Nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ni generator ya uwezo upi itafaa zaidi kwa matumizi ya nyumba yenye fan(panga boy 4), fridge 2, TV 1, taa za 30w ziko 7, na inverter AC moja yenye 9000BTU hii sio lazima iwashwe.
Karibun ndugu kwa ushauri
 
Installation kwenye nyumba yako ni single au 3 phase ?

7kva Diesel litawasha bila shida

Mana hapo kikubwa ni AC
9000btu ni sawa na 2.4kw
Hizo fridge na uhakika hazizidi 2kw , hakikisha power rating hapo kwenye friji na hizo nyingine matumizi yake hayazidi 2kw

So 7kva tops
Bila shida yoyote
 
Nyumba yenye 3 phase je yenye vitu vingi vya umeme vikubwa?!
 
Back
Top Bottom