Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

EVIGT

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
603
Reaction score
570
Member,
Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,,

Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo halipo, niliweka juu kwenye zile kelia za mabegi ndani ya treni hata kwenye mabasi zipo,,
Nikapekua sana hadi nikaconclude kuwa nishaibiwa, sasa nilipowasili kigoma nikaenda kununua jeans, tshirt na begi, sasa ili kubana budget sikununua mkanda, nikatafuta waya wa umeme, nikafunga kama mkanda then tshirt yangu ikaficha isionekane huo waya,,
Oya asikwambie mtu hiyo kitu imekuwa addiction hadi leo naona uvivu kununua mkanda na kazi zangu zinaruhusu maana mimi ni mtu wa kushinda site,, navaa mkanda kwa kufosiwa na Wife aisee,, ila nikifika huko site ni mwendo uleule kama site nakaa wiki basi wiki yote nitavaa mkanda made by me, mkanda asilia navaa kwenye matukio tu ,, ila sasa nimeadvance ninakamba flani amazing kama kwenye picha hapo,,
 

Attachments

  • wearRopeBelt_02-1024x679.jpg
    wearRopeBelt_02-1024x679.jpg
    86.3 KB · Views: 13
Nulimuinamisha binti fulani kwenye choo cha ofisi fulani niliyokuwa naifanyia kazi huku nimdinya, nikaona kufanya vile ni raha.

Sasa hata nyumbani wife huwa namshusha kitandani namuinamisha na namdinya.

Imeshakuwa tabia yangu yeye anasema namuonea.

[/QUOTEmika

Daaha kumbe,, kitu anachopenda mwenza wako kumbe ndo tabia yake ya kitambo,,
 
Kipindi najitafuta niliona ninywe bia ya ego kukwepa gharama za bia za ghali , nikawa nabandua lebo ili watu wasijue kama nakunywa bia ya ego , mpaka leo hii natabia ya kubandua lebo kwenye chupa ya bia
Na lebo unazong'oa unatafuna.Ila ile bia ya "eagle" ilikuwa kiboko kama siyo kifimbo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom