Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,364
- 12,621
Kwangu mimi binafsi sijali CCM itakaa madarakani muda gani. Nimefika hatua sioni namna CCM itatoka madarakani kwa njia ya amani itakuwa njia mbaya sana wao kutolewa madarakani.
Sasa kama hawawezi kutolewa madarakani basi bado wanacho chumba cha kujifanyia reforms.
Sisi sio nchi ya kwanza duniani kutawaliwa na chama kimoja wala hatutakuwa nchi ya mwisho.
Sasa ndugu zangu CCM mnayo room kubwa tu ya kutokuendelea kutumia nguvu kubwa za kimabavu kulinda chama chenu kusalia madarakani njia pekee ni nyie kujifanyia reforms ndani ya chama chenu.
Ifike muda CCM kiwe kweli chama serious, kumiliki kadi ya CCM iwe kweli ni ufahari sio wa kifedha bali utimamu wako wa akili, kuwa mwanachama au kiongozi kutoka CCM iwe pia ufahari wa utimamu wa akili wa huyo mtu.
Sio kila mtu anapaswa kuwa mwanachama na kiongozi toka CCM lazima kuwepo na mchujo wa nyie kwa nyie kati ya makapi na watu halisi ni bora CCM iwe na wanachama 5000 nchi nzima wenye akili timamu kuliko mamilioni ya misukule.
Ifike muda wanaCCM muheshimu kiti chenu cha uenyekiti wa chama na Uraisi sio kila mtu anaweza kukalia.
Nina uhakika CCM ikijifanyia reforms hizi nguvu mnazo tumia sasa nina uhakika hazitakuwepo kabisa katika kulinda madarakani yenu.
Kwa sababu madaraka yenu yatajilinda na maendeleo mtakayo kuwa mnaleta sawa tu na nchi nyingi bora duniani zinazo tawaliwa na chama kimoja hivyo matumizi ya mabavu yatakuwa hayana maana tena.
Watu pia wengi nikiwepo mimi sitajali chama gani kipo madarakani nachojali ni maendeleo tu hayo mengine nawaachia nyie na siasa zenu ndani ya chama chenu. Kama mnaleta maendeleo na utawala bora hakuna anayejali mpo madarakani muda gani