fursa

  1. B

    SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  2. M

    Tumieni jicho la tatu kuiona fursa ya Royal Tour

    Ikiwa ni wiki ya pili muendelezo ya safari ya Rais Samia katika kurekodi vivutio vya Utalii kwa ajili ya kulitangaza Taifa letu katika mataifa mbalimbali Duniani katika Utalii. Kalamu yangu iende kwa Gerson Msigwa, Vijana, Wasanii na Vyombo vya habari. Kwa Msemaji wa Serikali kwanza kabla ya...
  3. Ferruccio Lamborghini

    Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

    Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa. Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
  4. Opportunity Cost

    Ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda.Watanzania tuchangamkie fursa badala ya kulalamikia Serikali.

    Habari Wakuu. Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa. Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
  5. Roving Journalist

    Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  6. Opportunity Cost

    Fursa ya Kilimo cha Iliki. Mbinu, changamoto na faida

    Twende kwenye mada moja kwa moja. Mwenye uzoefu na kilimo cha iliki naomba afanye kushea na sisi hapa jukwaani maana naona kina bei kubwa Sana kwa kilo sokoni Kati ya sh.15,000 hadi 20,000/kg. Tuelezeni mchakato wa kilimo ulivyo,Hali ya hewa inayojitajika,utunzaji, changamoto nk.
  7. N'yadikwa

    Wakazi wa Itumbi Chunya tunahitaji lami

    Migodi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu Itumbi Chunya Mbeya ni mingi zaidi ya wachimbaji wadogo na kati 5000 tupo eneo hili, ila tuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa barabara ya lami. Tafadhali serikali mtuwekee lami huku ili biashara yetu ya madini iwe rahisi. Tunazalisha sana madini huku...
  8. pCpCp RICH THINKER

    SoC01 Kwani fursa ni nini?

    FURSA Fursa ni mwanya, nafasi ama uwezekano wa kufanikisha jambo fulani (kwa minajili ya makala hii–tafsiri hii inatufaa). Nikupe mfano: Chukulia mmefungwa kwenye chumba, tuseme watu mia moja na dhima yenu hapo ni kutoka nje. Hata hivyo, kanuni inasema: “atakae toka basi anakuwa huru”. Chumba...
  9. Peter Stephano 809

    Suala la ajira kwa vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee

    Na Peter Mwaihola Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library. Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee. Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
  10. 6WaS9

    Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

    KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA: Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA. Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu.. kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi. Tatizo...
  11. G

    SoC01 Maonesho ya vyakula vya asili fursa mpya ya Utalii Tanzania

    Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Sekta ya utalii inachangia kiasi kikubwa katika maendeleo ya...
  12. Tz boy 4tino

    Best cities for real estate Investment

    What is a Real Estate Investment ?, Benefits of a Real Estate Investment , Best Cities for Real Estate Investment..
  13. sky soldier

    Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  14. sky soldier

    Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  15. F

    FURSA: Biashara ya playstations/games Kariakoo

    Hello fellas. Kuna fursa ya biashara ya playstations/games Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara. Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara. Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
  16. smartdunia

    SoC01 Jiongeze zaidi

    "Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake",msemo huu uliobeba maana,yamkini unatumiwa na waswahili kufikisha ujumbe kwa watu kua watu wanatakiwa kuishi kulingana na uwezo wao wa kimaisha ulipoishia,lakini kwa upande mwingine tunapaswa kukubaliana kua matumizi ya msemo huu ni sahihi kwa asilimia zote...
  17. G

    SoC01 Taka kama fursa kiuchumi, utunzaji mazingira na umuhimu wake

    UTANGULIZI. Mazingira ni nyenzo muhimu sana katika Maisha ya Mwanadam hasa ikichukuliwa kwamba kila kiumbe chenye uhai hutegemea Mazingira (asili) ikiwemo udongo, maji na hewa. Hii yote hudhihirishwa hata katika masimulizi ya uumbaji ndani ya vitabu vyote vya Dini. Kabla ya Maisha ya Mwanadamu...
  18. Kiwelesi

    SoC01 Kijana amka sasa!

    Karibu ndugu msomaji wa nakara yetu hii fupi, ninayo kuletea kwako wewe pamoja na jamii yote kiujumla hasa vijana ambao wanadhani kitokana na hatua hii ya serikali yetu wanaona kama ni kikwazo cha kutimiza ndoto zao hata malengo yao, na kubaki kulalamika bila kuchukua hatua. kwa muonekano huo...
  19. chief lobengula

    SoC01 Je, Sarafu za Kimtandao (cryptocurrencies) ni fursa nyingine kwa Vijana wa Kitanzania?

    Habari zenu wanajukwaa. Natumaini ni wazima wa afya. Namshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo. Mnamo Juni, 13 2021, Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa Benki Kuu (BOT), kujiandaa kwa ajili ya kulipokea swala la sarafu za kimtandao na teknolojia inayoziwezesha yaani...
  20. C

    SoC01 Kwanini fursa ya ufadhili wa kimasomo nje ya nchi ni kwa ngazi za juu tu za elimu?

    KWANINI FURSA YA UFADHILI WAKIMASOMO NJE YA NCHI NI KWA NGAZI ZA JUU TU ZA ELIMU? UTANGULIZI. Katika nchi yetu ya Tanzania na afrika kuna wimbi kubwa la wasomi ambao wanawaza kwenda nje ya nchi kwa mgongo wa scholarship zinazotolewa na nchi za marekani,ulaya na asia.Katika namna yakutafuta...
Back
Top Bottom