Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

Ruble

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
602
997
Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu.
Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
 
Wengi wa humu walishafanikiwa. Walishamiliki nyumba ya ndoto yao, kazi ya ndoto yao na gari la ndoto yao. Nasisitiza ni NDOTO
 
Wengi wa humu walishafanikiwa. Walishamiliki nyumba ya ndoto yao, kazi ya ndoto yao na gari la ndoto yao. Nasisitiza ni NDOTO
Wakati wanahangaika na ajira za ualimu na afya 😝😝
Brother humu wengi wako mtaani tu wanasubiri ajira intellectuals with NO JOBOO OOOO
FB_IMG_1651606730800.jpg
 
Mtu muaminifu huwezi kumpata kwa kutoa tangazo maana anaweza kujitokeza na aka-pretend kuwa ni muaminifu kumbe kavaa koti kwa nje ni kondoo na ndani ni nyoka. Unachotakiwa kufanya ni kujipa muda na usiwe na haraka kwenye kumpata huyo muaminifu unayesema. Tembelea eneo husika na ishi katika hayo mazingira ikibidi. Fanya utafiti mfupi. Kisha baada ya muda unaweza kumpata mtu anayeendana na qulities unazohitaji.
 
Back
Top Bottom