Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,908
45,342
Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu.

Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer

Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha vijana waingizwa katika Fursa za uzalishaji .

Ahsanteni ..Ni Mimi hapa Mr Justice

Maana kuhusu kuua watu hakuna Mtu kaua watu wasio na hatia Kama Magufuli.

Bira kuwaandalia vijana Opportunities za Maisha ya kula kwa jasho msitegemee changes

Hata ulaya Jobless wanalipwa ili waweze Afford expenses za Maisha.
 
Kuua ni kukurupuka...kuna mahali kulikosewa ikawa ni zao la hao panya...
 
Napinga kuua lakini kupigwa kisago kikali naunga mkono maana hao ndani yao wapo wengine wanazikataa fursa kabisa na wanaona uporaji ndio fursa!.. labda Kama hujui vichwa vya watu ndo unaweza kutetea kila kitu,nguvu za kupora wanazo ila za kufanya kazi hawana! Wadundwe tu ukiendekeza demokrasia watakutia dole jichoni!
 
Unaelewa maana ya neno "innocent"?

Mtu anakata watu mapanga na kuwapora mali zao,bado uko na audacity ya kumuita innocent, are you serious?

Eti under 20s hawajajua maisha, usipojua maisha ndio ukate watu mapanga? Ukiwa under 20 ndio unakua innocent hata ukikata watu mapanga? How did you manage to come up with this nonsense?
 
Anaye ua anaejeruhi nayy auliwe yasni ikiwezakana hawa Panya Road hao sita waliokamatwa TV zioneshe LiVe wakihukumiwa wapigwe risasi au wanyongwe mpaka kufa iwe fundisho. Eeh mola tupe vizazi vyema vyenye manufaa na utuepushe namitihani ya watoto.
 
Binti wa Liyumba alikamatwa na mzigo mkubwa wa cocaine, mwingine baba yake ndio kashika remoti ya Magogoni, dawa za kulevya wanazouza wateja wake wakubwa ni hao panya road, wanapora tv, simu na pesa kwa ajili ya kuwanunua dawa ambazo wauzaji ndio hao....
 
Hawa Panya Road wanachofanya sio kitu cha kuvumilia kabisa. Zipo Tabia za kuvumilia na kukaa chini kuelimishana lakini sio hii ya kuvamia watu na kuwakata kwa mapanga halafu anakuja mtu hapa anasema eti vijana wamekosa fursa sijui wamekosa ajira. Kweli jamani mtu kukosa ajira ndio ukakate watu mapanga.. this is Sad
 
Hayajakukuta, omba wasikudake kwenye 18 zao

Back
Top Bottom